Yanayotendeka usiku baada ya bunge yanaonyesha wazi hatuna wabunge | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Yanayotendeka usiku baada ya bunge yanaonyesha wazi hatuna wabunge

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Radio Producer, Feb 9, 2011.

 1. Radio Producer

  Radio Producer JF-Expert Member

  #1
  Feb 9, 2011
  Joined: Feb 4, 2011
  Messages: 867
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 45
  Samahani wanainchi mi ni mwandisi wa Habari sa uchungusi, ilinibidi kuzama dom na hatimaye mtaani kujioneya yanayojiri usiku baada ya bunge ni UOZO! Huwezi kuamini kuona wabunge tunaowatarajia walinde maadili na kuwaelimisha wanachi wao ndio wa kwanza kwenda kunua MACHANGUDOA WANAOJIUZA! Nimesikitika sana, Bungeni kelele tu wakirudi huku nako uchafu tu, jaman hawa si wanaharibu nchi yetu? Ni mara mia ingetokea ufanywe msako kwenye maguest wanakolala ndo mngeona uozo ulivyo! Si wote lakini. Axkyusi! :pray:
   
 2. Barbie Maliposa

  Barbie Maliposa Senior Member

  #2
  Feb 9, 2011
  Joined: Feb 9, 2011
  Messages: 153
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  mmmh!inatia huruma,poleni wake za wabunge
   
 3. VoiceOfReason

  VoiceOfReason JF-Expert Member

  #3
  Feb 9, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 5,234
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 0
  Mimi wanachofanya usiku sina shida nacho sana..., kinachonisikitisha ni hicho wanachofanya mchana wakiwa mjengoni...., wengine wanafanya kama ni mahala pa kupumzika...
   
 4. m

  mzee wa inshu Member

  #4
  Feb 9, 2011
  Joined: Jan 25, 2011
  Messages: 49
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Thankn u friend for your observation, but we have sensitive nation matters to discuss right now, let us not deal with personsal affairs as we are seriously confronted by nation issues.

  After all I do not think all of them are of the same character.
   
 5. M

  Matarese JF-Expert Member

  #5
  Feb 9, 2011
  Joined: Aug 30, 2009
  Messages: 519
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Kama ni maisha yao binafsi waache mkubwa waendelee, sisi tunachohitaji wanachofanya kwa maslahi ya taifa letu. Let us discuss issues not personalities.
   
 6. Joseph

  Joseph JF-Expert Member

  #6
  Feb 9, 2011
  Joined: Aug 3, 2007
  Messages: 3,527
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  Na wewe inawezekana katika uchunguzi wako nawe huwa unachukua hao haoa machangudoa kama wafanyavyo wao,nasi tutatuma wachunguzi wakuchunguze wewe na waandishi wenzako mnachofanya usiku.
   
 7. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #7
  Feb 9, 2011
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,604
  Likes Received: 18,643
  Trophy Points: 280
  Radio Producer, si ni juzi tuu umejitambulisha ndio umetoka shule na unatafuta kazi ya redio?.
  Nakumbuka mpaka nilikuelekeza uombe wapi kazi!.
  Sasa leo ndio mara ghafla umegeuka mwandishi wa habari sa uchungusi?!. Na kama uchungusi wako wenyewe ndio huu utumbo unaoleta hapa!. Katafute kazi redio ya Shigongo inafunguliwa hivi karibuni.

  Kwa hayo uliyoyaona, mbona ndio maisha kila siku usiku mjini Dodoma!. Kipi kipya usichojua?. Tena bora ushukuru sasa kuna feeder nyingi kuanzia UDOM, CBE, Chuo cha Takwimu, Veta etc, zamani timu ya kazi ilikuwa inahama kutoka Dar na kupiga kambi Dodoma kipindi chote cha Bunge!.

  Wabunge wetu ni binadamu na wanahitaji huduma za kibinaadamu wakati wowote wanapokuwa mbali na makwao. Karibu utembelee Dodoma Hotel ushuhudie waheshimiwa wenye uwezo na huku wenzi wao wananafasi, wametinga nao Dodoma!.

  Nilitegemea tafanya uchunguzi wale vidosho wa viti maalum ambao vichwani hawana kitu lakini wapo bungeni kufanya nini?. Wee ndio kwanza unawaandama wale madada wanajitafutia rizki na kuwaacha walioandaliwa rasmi kutoa huduma hizo na vijizawadi vya viti maalum!.
   
 8. M

  MONTESQUIEU JF-Expert Member

  #8
  Feb 9, 2011
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 847
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Hii pia ni issue kwa stakabali wa maadili kwa jamii
   
 9. drphone

  drphone JF-Expert Member

  #9
  Feb 9, 2011
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 3,563
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  wakuu huu uozo waonatenda ucku kucha yanatuathiri mchana wanapokuwa mjengoni mchana kutwa wanalala wanasahau kero zetu tulizowatuma wakatusemee mjengoni so wanatuathiri sana
   
 10. Radio Producer

  Radio Producer JF-Expert Member

  #10
  Feb 9, 2011
  Joined: Feb 4, 2011
  Messages: 867
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 45

  Thanks sana bwana mkuu! Sasa nikupate wapi? make nimekumind uwe friend wangu ile nomaaaa! Nipe data za Shigongo baba! kama uko dom tufanye Pm tukutane leo uko pouwa?
   
 11. Radio Producer

  Radio Producer JF-Expert Member

  #11
  Feb 9, 2011
  Joined: Feb 4, 2011
  Messages: 867
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 45
  Baba wewe una macho haya nayo ni uozo mbaya! Kama watokomeza mbali maadili ya jamii ni aibu! Hawawezi kufanya vizuri kwenye mjengo kama huku kimaisha yao hawawezi kufanya vizuri! Ieleweke matokeo ya kwenye mjengo ni tabia zilizoanzia huku chini!
   
 12. Sita Sita

  Sita Sita JF-Expert Member

  #12
  Feb 9, 2011
  Joined: Aug 25, 2008
  Messages: 1,196
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Hawa jamaa wanatakiwa usiku wakasome vitabu ili waje na hoja za msingi bungeni

  natamani pics zao zingewekwa hadharani tuwafundishe adabu
   
 13. M

  Mabulangati JF-Expert Member

  #13
  Feb 9, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 779
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  Jamni baba mgonvi nyumbani hata kazini ni mgomvi. Kama usiku unakesha kunako pahala pa maovu au starehe marakwa mara, basi hata mjengoni utakua hivyo maana hutakua na muda wa kupitia kanuni za bunge, kusoma na kuelewa sera na sheria mbalimbali za nchi na nchi nyingine na nmna wanavyojipanga kwa maendeleo ya nchi zao ili nawe ujipange kwa nchi yako, pia kupitia mikataba mbalimbali ya ndani na nje kupata udhaifu na namna ya kumeet changamoto zinazotukabili; badala yake utakuta mbunge analala saa nyingine hayupo yuko wapi? anakula. Jamani wabunge mmepewa dhamana kubwa lazima mconcentrate kwenye patnent issues na ndio maana mnalipwa ghali kwa muda wa 5 years. Maswala ya kusema ni mambo binafsi hamna ukishakuwa public figure.
   
 14. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #14
  Feb 9, 2011
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,124
  Likes Received: 1,710
  Trophy Points: 280
  Kuweni kama wikileaks leteni cables hapa si we ni anonymous?
   
 15. Nyati

  Nyati JF-Expert Member

  #15
  Feb 9, 2011
  Joined: Mar 6, 2009
  Messages: 2,050
  Likes Received: 384
  Trophy Points: 180
  Du JF kiboko mpaka Wabunge ndani. Kwa jinsi baadhi yao wanavyotetea hapa ni wazi ni wabunge. Endelezeni kiduku wazee
   
 16. Mawenzi

  Mawenzi JF-Expert Member

  #16
  Feb 9, 2011
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 1,261
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  supported. afterall they are human beings
   
 17. Akthoo

  Akthoo JF-Expert Member

  #17
  Feb 9, 2011
  Joined: Nov 5, 2007
  Messages: 587
  Likes Received: 180
  Trophy Points: 60
  Katika uchungusi wako ungefanya vyema kama ungepiga picha ili kutia msisitizo wa hoja yako!
  Na hatimaye kuondoa uvundo huo kwa kuwaanika juani wote wanao husika!
   
 18. g

  geophysics JF-Expert Member

  #18
  Feb 9, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 904
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Wewe sio mwandishi wala mwandisi kama ulivyosema, kama ungekuwa ungethibitisha yale uliyoyasema kwa kutumia camera au kumtaja mmoja wapo....
  Acha kuwapaka matope wabunge....Siwatetei lakini sio kweli kuwa wabunge wengi wanafanya hivyo kama unavyosema.... Wabunge wameanza kikao jana tu wewe umeisha fikia conclusion ya uhandisi wako wa uchunguzi kwa siku moja... Kama wewe ni mwandishi naamini hata kozi ya miaka miwili hujamaliza kwenye chuo cha Uhandishi wa habari tena chuo cha mtu binafsi.... Acha majungu kuwa mtu wa ushahidi...na heshimu maadili ya waandishi wa habari
   
 19. g

  geophysics JF-Expert Member

  #19
  Feb 9, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 904
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Pasco umenena huyu si mwandishi wala si chochote.... Kama ni vyeo abaki navyo.....mitaani... Uandishi wa habari za uchunguzi unaenda hivi... kwanza ndo umeingia jf...unaanza kupost uzushi.
   
 20. Radio Producer

  Radio Producer JF-Expert Member

  #20
  Feb 9, 2011
  Joined: Feb 4, 2011
  Messages: 867
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 45

  Ungejua yanayoendelea katika nchii hii kuhusu ufuatiliaji wa watu wanaoiweka hewani au peupe serikali na maovu yake usingenilaumu sana! Bana usifikiri mtandao haurekodi details zako! Na ninakuhakikishia hata mimi nikiamua kukutafuta nakupata jua pia siyo mwandisi tu, ni mtu iliyobobea kwenye teckinolojia! So tukiweka picha ni nomaaaaa si jana yalisemwa bungeni jioni mbona hamsikilizi jaman? Picha na zali zote zimo kiganjani ila najilinda mimi kama ethic za journalism zinavyosema! Na kwamba nimeamua tu kuwadokesea basi kama nimekosea mimi masai Axkyusi!:coffee:
   
Loading...