Boniphace Kichonge
JF-Expert Member
- Jul 31, 2017
- 1,605
- 1,957
Wadau
Huwa napitia na kusoma habari kutoka Magroup mbalimbali ya Wana CCM mitandaoni.
Nimeona post kadhaa hivi karibuni zikizungumzia pengo la wazi aliloliacha Prof. Muhongo kwenye sekta ya nishati hususani changamoto ya upatikanaji na usambazaji wake hasa vijijini.
Aksanteni.