Tajirimsomi
JF-Expert Member
- Jan 12, 2017
- 4,824
- 5,612
Kitu ambacho hujaelewa mi nilikujibu kama ulivyopost pale kwamba kukaa kwenye magroup ya ccm ni laana kama ilivyo Baraka kumzomea fisadi lowassa tatizo liko wapiMatamko ya viongozi wa chama tawala ni mengi sana kuyaweka hapa yote toka uhuru ni kupoteza Muda lakini waweza kuangalia ya magufuli pekee