EINSTEIN112
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 21,708
- 35,719
Unawezakuta mzaramo.Dereva kupiga mziki wa singeli...
Aaaarrggghhh... Aisee aisee aisee.... Nachukia vibaya mno.
Sasa unakuta na siku hiyo na wewe umesahau kubeba earphones... Balaa linaanziaga halo asee.Unawezakuta mzaramo.
sa akiwa mzenji mtakula TAARABU hadi mnafika
Juzi asubuhi, alipanda akawakera watu konda akamshusha njianiKupanda daladala na mlevi anaongea ongea hua nakerekwa sana
πππππππkuna wale wakipanda daladala wanaongea 'ile milioni 10 usiniwekee crdb, ntumie sasa hv mpesa' cha kushangaza mpesa kiwango cha kuhifadhi sio zaidi ya 5m
DUH!Wanaojamba nao ni kero,
wanaodindisha na kujibana mogongoni mwa abilia waliosimama nao ni kero
wanaojitia wanasinzia na kuangushia mkono kwene sehemu za siri za mwanaume na kukuamushia hisia nao ni kero
πππππ huu uzi mtaniua mbavu zangu mieeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeWanaojamba nao ni kero,
wanaodindisha na kujibana mogongoni mwa abilia waliosimama nao ni kero
wanaojitia wanasinzia na kuangushia mkono kwene sehemu za siri za mwanaume na kukuamushia hisia nao ni kero
ongeza kero zingine maana changamoto ni nyingiπππππ huu uzi mtaniua mbavu zangu mieeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Dereva wa Daladala unapiga nyimbo za dini fulani na abiria ni wa dini mchanganyiko hii nayo kero........Dereva kupiga nyimbo nisizozipenda inakera hasa zile za kuhuzunisha huzunisha sizipend kabisa!!
Bora kwaya au kaswida...mtu anakuwekea nyimbo za majonzi halafu kafunga zile sabufa za kichina hata uweke earphone saut inapenya tu mpaka kumoyo unabaki tu unatiatia hurumaDereva wa Daladala unapiga nyimbo za dini fulani na abiria ni wa dini mchanganyiko hii nayo kero........
kaswida au kwaya
πππππBora kwaya au kaswida...mtu anakuwekea nyimbo za majonzi halafu kafunga zile sabufa za kichina hata uweke earphone saut inapenya tu mpaka kumoyo unabaki tu unatiatia huruma
Panda za chuo uone totoz za udnapenda daladala kwa sabau kuna ya mademu wakali hasa za makumbusho na za segerea...changamoto ni kukanyagana majibu ya ovyo sio abiria sio koβ‘da wote wanamajibu ya shombo!!
KUOMBA NAMBA KWA SAUTI NAYO KEROnapenda daladala kwa sabau kuna ya mademu wakali hasa za makumbusho na za segerea...changamoto ni kukanyagana majibu ya ovyo sio abiria sio koβ‘da wote wanamajibu ya shombo!!