Wanabodi nimeamua kuanzisha thred hii ili kupeana taarifa juu ya yanayojiri uchaguzi mdogo kata ya Chang'ombe manispaa ya Dodoma.Kifupi watu wana hamasa na wanajitokeza kiasi katika kupiga kura.
Nadhani ulimaanisha Chadema, Tuko pamoja sana!!Tunashukuru kwa taarifa za awali tujuze mgombea wa wadema anaitwa nani na wa ccm.
Ubarikiwe sana kwa updates!!
"Ee Mwenyezi Mungu nyoosha mkono wako wa baraka uiguse CHADEMA!!"
Wote semeni "AMENI!!!"