Chakaza
Platinum Member
- Mar 10, 2007
- 41,010
- 74,643
Ukiona hao maninja, jua wazi damu lazima imwagike hapo.
Kikao kimesita kwa muda huku mbowe akisoma sms za simu yake
nitaleta updates wakuu
nitafurahi pale upinzani utakapochukua nchi, ila tuwe wakweli hata kama hatuipendi CCM lakini hamna dalili zozote zile za upinzani kushnda uchaguzi 2015, ni ukweli ambao hata mimi sitaki kuusikia..
![]()
Acheni porojo ......picha zinaumbua sana .....moods take action.....
Dr mkumbo aitwa aingia ukumbini huku watu waliovalia kama maninja wakiwa mlangoni.
Akaribishwa na mbowe kisha aomba kusalimia kwanza na kuomba mwongozo.
Aomba mbowe na slaa wasiongoze kikao kwa sababu aliwaandalia mkakati wa kuwashinda wao katika uchaguzi 2013 waraka ulionaswa na kusababisha aondolewe nafasi yake ya uongozi
asema bias na conflict of interest ipo hapo sasa hawezi kujadiliwa na kamati inayoongozwa na hao viongozi, apendekeza makamu zanzibar na naibu katibu zanzibar waongoze kamati.
Mjumbe mmoja aunga mkono na kuomba hoja hiyo ijadiliwe kwanza watu waamue lakini mboe avua miwani aweka mezani avaa mingine, anywa maji kwanza.
Lema anahema juu juu...
Kikao kimesita kwa muda huku mbowe akisoma sms za simu yake
nitaleta updates wakuu
nitafurahi pale upinzani utakapochukua nchi, ila tuwe wakweli hata kama hatuipendi CCM lakini hamna dalili zozote zile za upinzani kushnda uchaguzi 2015, ni ukweli ambao hata mimi sitaki kuusikia..
hahaha.,....
Nawaza tu ndoto ya CHADEMA kushika nchi ikitimia.
Hivi hiki chama ama genge, cjawahi kusikia mtu yupo CC ya ccm na anavujisha yanayoendelea.
Sasa wewe uko kwenye kikao ama uko upande wa kuzua umbea? tulia,tizama,changia,jenga hoja na ukisaidie chama kwa leo ...mwenzetu ndo kwanza uko busy na updates,heshimu kikao basi hata kama sikuoni unachokifanya hapo ukinaswa utasema nani kakuruhusu kutoa taharifa nje ama uko upande wa Kurugenzi ya habari? ukidakwa ukadhibitiwa utaanza kusema mara oho mara sijuhi Mbowe,childish!