Dr mkumbo aitwa aingia ukumbini huku watu waliovalia kama maninja wakiwa mlangoni.
Akaribishwa na mbowe kisha aomba kusalimia kwanza na kuomba mwongozo.
Aomba mbowe na slaa wasiongoze kikao kwa sababu aliwaandalia mkakati wa kuwashinda wao katika uchaguzi 2013 waraka ulionaswa na kusababisha aondolewe nafasi yake ya uongozi
asema bias na conflict of interest ipo hapo sasa hawezi kujadiliwa na kamati inayoongozwa na hao viongozi, apendekeza makamu zanzibar na naibu katibu zanzibar waongoze kamati.
Mjumbe mmoja aunga mkono na kuomba hoja hiyo ijadiliwe kwanza watu waamue lakini mboe avua miwani aweka mezani avaa mingine, anywa maji kwanza.
Lema anahema juu juu...
Kikao kimesita kwa muda huku mbowe akisoma sms za simu yake
nitaleta updates wakuu
UPDATES!
Mwenyekiti amemuruhusu lema aongee, lema apendekeza wajumbe wa CC wapige kura ili kupata msimamo wa ombi la Dr kitila
Miguno yasikika, wengine wanyoosha mikono lakini mbowe asema hili suala sio la kujadili muda mrefu yeye asema kura zipigwe tu haina haja ya kuvutana kwa hoja hii...
watu waguna, Mnyika alitoka nje wakati Dr kitila anaitwa kijana mnyika hajarudi mpaka sasa huku yeye ndo msemaji wa chama, wala hatujui kaenda wapi.
Mwenyekti aonya simu na watu kupost yanayoendelea...nazima simu wakuu ingawa napost kwa kificho sana nikiwa humu kikaoni
UPDATES TENA!
Mbowe ajichanganya tena aruhusu kura zipigwe kwa kauli iliyoshangaza wengi amesema kuwa.
''kwa kuwa tumepata maoni ya pande zote mbili, upande wetu umependekea kura ziamue na upande wao ulitaka tujadili kwa kuvutana tupoteze muda, sasa kiti kinaamua kuruhusu kura kwa sababu ndio njia ya pekee''