Yanayojiri Bungeni Dodoma: Jumanne Tarehe 20 Mei 2014, Mkutano wa 15 Kikao cha 13, Bunge la Bajeti

Naamini kwa wanajamvi wote wanaofuatilia bunge hili jioni ya leo watakubaliana na mimi kuwa Mheshimiwa mwenyekiti wa leo ameongoza kizalendo zaidi katika kupitisha bajeti ya Wizara ya Viwanda na biashara na wala si kichama kama baadhi ya wenyeviti wengine.
 
Jamaa ameonyesha best way of presenting budget: anasoma wakati huo huo Ana-present PowerPoint!!!!
 
Kiwanda cha matairi huko Arusha nacho kinaendelea kujengwa qmbapo kitapunguza uagizwaji wa matairi kutoka nchi za Asia na kitachochea kilimo cha mpira hapa nchini

Umesema kinajengwa? Au una maanisha kinakarabatiwa?
 
Katika kuonyesha kuwa bado anakumbuka madhila yaliyompata akiwa katibu mwenezi wa chadema taifa ya kuitwa sisimizi hadi kuamua kukihama chama hicho na kujiunga na NCCR MAGEUZI mbunge wa kigoma kusini David Kafulila wakati anawasilisha bajeti ya wizara kivuli ya viwanda na biashara amesema kuwa anawasilisha bajeti ya UKAWA badala ya kusema kambi ya upinzani bungeni.

Kosa hili la Kafulila sio la bahati mbaya, ni kumbukumbu ya kidonda kilichopo moyoni mwake cha muda mrefu cha kuitwa sisimizi.

Namshauri Kafulila asimame na miguu yake.CHADEMA haina shukrani.

Kusema kweli sisi Watanzania ni watu wa ajabu sana.HIVI UKAWA NI NINI.
Imesajiliwa wapi,
Nani viongozi wa UKAWA.
Nini madhumuni ya Ukawa.
Wapi katiba ya ukawa na malengo yake.
HIVI SISI TUMEKUWA WATU WA KUSHABIKIA kundi lisilokuwa na katiba,viongozi,wala malengo?
OFISI ZA UKAWA ZIKO WAPI.
Mimi napata tabu kutathimini kundi hili.
cdm+cuf+nccr mageuzi+ndl+dp=ukombozi wa nchi?
 
Kama ni kweli unayosema basi hapa siyo mahali Palo. Rudi Chit chart ulipokua
 
Kusema kweli sisi Watanzania ni watu wa ajabu sana.HIVI UKAWA NI NINI.
Imesajiliwa wapi,
Nani viongozi wa UKAWA.
Nini madhumuni ya Ukawa.
Wapi katiba ya ukawa na malengo yake.
HIVI SISI TUMEKUWA WATU WA KUSHABIKIA kundi lisilokuwa na katiba,viongozi,wala malengo?
OFISI ZA UKAWA ZIKO WAPI.
Mimi napata tabu kutathimini kundi hili.
cdm+cuf+nccr mageuzi+ndl+dp=ukombozi wa nchi?

Kama ni kweli unayosema basi hapa siyo mahali Pako.Rudi Chit chart ulipokua
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom