Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 56,994
- 94,579
nimejidhihirisha bila shaka kuwa MAKONDA NI Chabruma,
Kuna Mpumbau anaitwa Paulo Makondakta naona anatafuta umaarufu mavi bungeni kwa kuitaja JF tumbiri kabisa huyu.
Mkuu, yule Jamaa alikuwa anaitwa Tariq Aziz. Nilikuwa nampenda sana. Ila kwa hapa tulipofikia mambo yapo shwari kabisa na akidi imepatikana
basi mkuu unafanana nae kabisa tariq azizi
cc Tuko
Kuanzia daftari liboreshwe kwa mara ya mwisho kuna vijana mamilioni walishafikisha umri wa kupiga kura na hawajapiga pamoja na kuwa ni haki yao kikatiba,nimejaribu kufuatilia kama kuna mahali katiba inatoa sababu lakini sijaona sasa nataka kukusanya saini na ninawaomba ukawa waniandalie bw peter kibatala ili alisimamie hili zoezi ili kusiwepo uchaguzi aina yoyote tanzania mpaka kila kijana mwnye haki ameingia katika daftario la kupiga kura.
Na kama ukawa watakataa kuniunga mkono katika hili nitapigana mwenyewe kama mtikila.
Mkuu, hakuna mahala nimeandika kuwa hawatakuwepo. Nilichosema ni kwamba hawa wabunge walipiga kwa shinikizo na wapo tayari kubadili maamuzi yao baada ya mashauriano
Kura 5 za hapana kutoka Zanzibar zinatosha kabisa kukwamisha hiyo rasimu maana kama Cuf ni 67 plus kura 5 za hapana jumla ni 72. Hivyo basi wajumbe wa Zanzibar ni 210 na ukitoa 72 basi unabaki na 138 ambayo haitimizi akidi kwa upande wa Zanzibar..Kwa maana nyingine vifungu vya Jana na Leo vimegoma kupita...Asante ndugu yetu mcubic kwa update zako.
Hawa waliopiga kura ya HAPANA baada ya mashauriano na Kamati watabadili uamuzi wao. Kanuni zinaruhusu jambo hilo
Mkuu usikubali kuwa kasuku huyo muda si mrefu katoka kuiponda JF ndani ya bunge kwamba habari zetu hatuna fact, sasa natumia fursa hii kukutaarifu kwamba Makonda amekudanganya, Propaganda mashine ya Saddam alikuwa ni Al Sahaf.
Sasa tuone sisi JF na yeye anayekata viuno bungeni nani mkweli, hapa hatuna vikaratasi tunavyopewa tusome na kukariri kama kasuku.
Mkuu, yule Jamaa alikuwa anaitwa Tariq Aziz. Nilikuwa nampenda sana. Ila kwa hapa tulipofikia mambo yapo shwari kabisa na akidi imepatikana
Wadau mie naomba kufahamishwa kidogo! Sasa hii kamati iliyoundwa itawafamuje wajumbe waliopiga kura za siri na kusema "Hapana" ili nao ijadiliane nao? Au hii ni kwa wale waliosema hapana kwa kura za wazi au Tuseme mwenyekiti ana uhakikaka hakuna kura ya "Hapana" katika wote waliopiga kura ya siri!!!
wajameniii... MPAKA SASA MJENGONI BAO NI NGAPI NGAPIIII????
wadau mie naomba kufahamishwa kidogo! Sasa hii kamati iliyoundwa itawafamuje wajumbe waliopiga kura za siri na kusema "hapana" ili nao ijadiliane nao? Au hii ni kwa wale waliosema hapana kwa kura za wazi au tuseme mwenyekiti ana uhakikaka hakuna kura ya "hapana" katika wote waliopiga kura ya siri!!!