Yanayoendelea udsm

NGONYA NM

Member
Jan 8, 2012
39
15
Nawashukuru wana jf kwakuchangia vzr topic ya jana iliyohusu kwanini ccm waingilie elimu?. Leo siko mbali na mada hyo, ndg zangu hebu tutafakari pamoja toka Jk na M7 wazomewe UDSM, mteule wao mkuu wa chuo hajaacha kuwafukuza wasomi we2. Je kwanini 2sifikiri kuwa anatekeleza maagizo ya aliyezomewa? Kama jk alitaka kuepuka kuzomewa alipaswa atekeleze aliyoahdi, Oh! Hakuna mtoto wamaskini atakayekosa mkopo! Leo weng waliopata mkopo sio walengwa halafu anategemea asizomewe? Alifikiri UDSM ni kama vijijin ambako wamezoea kushangiliwa 2 huku wanakijiji wakiwa wamefunga kanga na vitamba vya ccm? NO!! mlimani nikwa wa2 intellectual wenye uwezo wakuhoji, na hiyo ndo kazi yawasomi kuhoji why this and not that sio kila ki2 ndio mzee! Hakuna, muda waku2mia ujinga wawatz kuwatawala umekwisha Tumeelimika, na bdo CHADEMA WANA2ELIMISHA HDI HUKU VIJIJIN KWE2 NANDO MAANA HATA WASIRA NA NIMROD(Msomi anaeficha elimu yake kwa sababu ya ccm) WALIZOMEWA! Hayo ni manyunyu mvua iko mbioni NAWASILISHA!
 
kama mnafanya hayo kwa kisingizio cha CDM, ni udhaifu wa kufikiri, na sitaki kuamini kuhoji kwenu eti ni kwa sababu ya CDM, Mie naamini kuhoji kwenu na kuzomea ni kazi nzuri ya watu kama kina DR. Mwami na wenzake wanowapatia macho ya kuona mambo kivingine.
 
Acheni kuingiza siasa mavyuoni, leo mnasema Mkandala hafai, kesho Rais toka chadema akiteua VC CCM nao watasema hafai.

By the way majority ya viongozi wanaokuwa madarakani huonekana hawafai, ndio kusema basi hata wewe mleta mada ukiingia madarakani tutakuona hufai vile vile.
 
Ni vema kuzungumzia zaidi hoja za msingi zinazochangia migomo vyuoni bila kuvihusisha vyama vya siasa hususani CCM na CHADEMA hii ni hatari na inachangia viongozi kutoa majibu rahisi kuwa ni mambo ya siasa na hivo kuacha kushughulikia mambo ya msingi.
 
Kama simba aungurumaye, na dubu mwenye njaa, ndivyo alivyo mtu mbaya awatawalaye maskini.
 
kama mnafanya hayo kwa kisingizio cha CDM, ni udhaifu wa kufikiri, na sitaki kuamini kuhoji kwenu eti ni kwa sababu ya CDM, Mie naamini kuhoji kwenu na kuzomea ni kazi nzuri ya watu kama kina DR. Mwami na wenzake wanowapatia macho ya kuona mambo kivingine.

Wanfunzi wa vyuo vikuu wanatakiwa kutenda kile wanachofundishwa na sio kushabikia tu, kwasababu ya uoga wao ndo maana kwa sasa hawana umoja na watawala wa kinyama wameamua kuwakandamiza na kuituhumu CDM kua ndio chanzo, kitu ambacho sio kweli. na ituhumu cdm ili kuficha madhambi yao.
 
Tukitaka kuinusuru UDSM lazima Mukandara awe out no questions.. na atakaye chukua nafasi yake awe ni msomi huru asiyetawaliwa na itikadi za kisiasa
Very truu! Hizi nafasi za kupeana kishkaji ni tatizo sio UDSM tu bali kwa nchi nzima! Wanaopewa madaraka kiswahiba wanageuka watumwa wa waliowateua hata kama ukweli wanauona but still they have to be royal and save the interest of their boss! Siamini kama prof wa ukweli anaburuzwa na wanasiasa na anasahau maslah ya nchi! Aibu

Tukitaka kuinusuru UDSM lazima Mukandara awe out no questions.. na atakaye chukua nafasi yake awe ni msomi huru asiyetawaliwa na itikadi za kisiasa

Kwa sasa sijaona msomi huru pale UDSM,yuko wapi Dr. Palamagamba na Dr.Bana,hawa ni kati ya wasomi walioaminika lakini leo wamegeuka na kuwa watetezi wakuu wa serikali hii dhaifu.
 
Hv we una2mia masabuli ktk kufikir,hawezekan kutaka hak bila ya wajibu,na wale vihelehele ndio watapungua kila ck,muulize mbatia mpaka leo degree yake kamalizia wapi!ndio maana daruso leo wametoa hoja mbadala,ebu 2fanye kilicho2ta chuon
 
We ulienda pale kusoma au kupeleeza watu kujua tabia zao.daruso wamesema watu warudi madarasani wkt wao wanafanya negotiations na uongozi ili wenzao warudishwe chuo.hebu kama we ni dent, take your time kaa darasani soma achana na uzushi wako huu.
 
Huna lolote wewe zaidi ya njaa,umepewa visent kdg na mnyika na mbowe vinakuhangaisha.chadema ni kama nccr,cuf na tlp.angalia nccr wanavoaibika kigoma.jifunze kijana utaaibika
 
Hv we una2mia masabuli ktk kufikir,hawezekan kutaka hak bila ya wajibu,na wale vihelehele ndio watapungua kila ck,muulize mbatia mpaka leo degree yake kamalizia wapi!ndio maana daruso leo wametoa hoja mbadala,ebu 2fanye kilicho2ta chuon
unafikiri kwa kutumia masaburi
 
Huna lolote wewe zaidi ya njaa,umepewa visent kdg na mnyika na mbowe vinakuhangaisha.chadema ni kama nccr,cuf na tlp.angalia nccr wanavoaibika kigoma.jifunze kijana utaaibika

hata wewe tunaushahidi umelipwa na nepi kuja kuchafua hali ya hewa jamii forum. utashindwa na utaondoka utawaacha great thinkers weendelee na kazi
 
halafu huu mtindo wa ktumia 2(badala ya tu)huwa siupendi..mada inakosa seriousness kwa kutumia mikato ya facebook.
 
Ni muhimu wananfunzi wajue kuwa wanakwenda chuoni kutafuta elimu siyo kuwa watetezi wa vyama vya kisiasa. Wanafunzi wana haki ya kudai haki zao lakini kwa wahusika na kwa wastaarabu. Mikopo inatolewa na Bodi ya mikopo inakuwaje wananfunzi wakawalaumu wakuu wa vyuo? Kama kweli wanafunzi wetu ni wasomi kama wanavyodai basi wameshindwa kiliona hilo.

Kitendo ch wanafunzi kudharau taratibu za chuo hasa kuingilia mambo ya mitihani hakiwezi kuvumiliwa kabisa. Vyuo vipo kwa kutoa taaluma na wanahitimisha hilo kwa kutoa mitihani.

Waliofukuzwa UDSM waliomba kufanyiwa hivyo na wamepata walichokuwa wanakiomba. Wasilalamike.
 
ndo maana tunasema watu wamepata elimu lakin haijawasaidi NI ELIMU GANI UNAZUNGUMZIA? JE HAWAFUNDISHWI POLITICAL SCIENCE? Wafanyie wapi application yake. Tunalalamika shule ziwe na maabara ili wanafunz wasome kwa vitendo cyo kwa chem na biology tu hata kwa maswala ya siasa lazima wafanye vitendo Elimu tunayoisoma kwenye vitabu ina maana tunapoweza kuiweka ktk real life situation and not otherwise
 
Tukitaka kuinusuru UDSM lazima Mukandara awe out no questions.. na atakaye chukua nafasi yake awe ni msomi huru asiyetawaliwa na itikadi za kisiasa

Sio UDSM tu hata hapa UDOM kuna wateule wa JK ni janga kwa elimu ya nchi hii.......
 
Back
Top Bottom