Yanayoendelea Ngorongoro yasipodhibitiwa yaweza kuzua maafa

Anayewadanganya hao wamasai anawagharimu,lengo la serikali ni kuokoa hiyo hifadhi baada ya kuzidiwa na shughuli za kibinadamu yaani ufugaji na sio kweli wamasai lazima waishi ngorongoro ukienda Morogoro wamejaa kibao na mifugo yao,hao watu wamepewa maeneo na kujengewa nyumba kabisa sasa sijui wanataka nini na hayo mazungumzo ni mazungumzo gani wanayotaka maana nao wanaleta siasa za cdm za kutaka mazungumzo kila kukicha.
 
Viongozi wetu wameshanunuliwa kitambo.

Hawana habari ya mateso wanayopata wananchi wao.

Tayari wameshatengeneza Syndicate za Kimafia kutawala nchi yetu.

Wadanganyika hatuna chetu.
 
Wamejengewa nyumba wapi, unaweza kutaja ni nyumba kiasi gani zimejengwa, na ziko wapi?
 
Viongozi wetu wameshanunuliwa kitambo.

Hawana habari ya mateso wanayopata wananchi wao.

Tayari wameshatengeneza Syndicate za Kimafia kutawala nchi yetu.

Wadanganyika hatuna chetu.

Bunge si limejaa wanaccm ambao ni wazalendo, kwanini hawazuii hilo?
 
Hata sijui kwanini serikali inatumia nguvu kubwa kiasi hiki kuwaondoa Wamasai , ni kwamba haiwezekani kufanya mazungumzo ya amani ?

Taarifa zinaonyesha kwamba Wananchi wameshika mishale na wako Tayari kwa lolote , Je huku ndiko tunataka kwenda ?
Kuna wamasai ambao kiasili wanatumia mishale huko Ngorongoro?

Kwa nini hukuwauliza vizuri waliokuambia?
 
Watolewe uko, ni aither wao watoke au mbuga itakufa, ata ukiangalia maeneo wanakoishi hakuna wanyama wakali kilometer kadhaa na wao hula wanyama pori kila siku na kuua simba kuonesha ushujaa
Nyie ndio huwa mnakuja na story za kijiweni nenda ujifunze tamaduni za wamasai vizuri kuishi na wanyama pori miaka na miaka kama huwa wanakula nyama pori. Ndio uje utoe comment
 
Swali langu ni moja tu, kwanini awamu hii ya sita imeamua kuwahamisha wamasai kama ilivyokuwa kwa ile ya awamu ya nne? kuna siri gani hapa imejificha?
Watu ni walewale wa awamu ya nne kasoro muasisi wa awamu ya nne.

Wanaendeleza yalyosalia kutekelezwa wakati awamu ya nne inaondoka madarakani.

Hii ni awamu ya nne kwa kila njia utakavyo kuiangalia.
 
Lile la kumuita Mbowe gaidi kwa Samia lilikuwa dogo, Namuonea huruma hili la wa Masai halita muacha salama

Asipocheza karata zake vizuri litamgharimu sana

Anyway sikio la kufa hata hivyo haliskii dawa

Ngoja tuone mwisho wa hili
Una hoja, lkn sio kwa serikali wakiamua kuwaondoa hawashindwi,

Rejea wakati wa gas Mtwara,

Watumie busara zaidi, vita ya mishale na bunduki unaweza kujua mshindi ni nani,
Watanzania ni ndugu tusiumizane,
 
Hata sijui kwanini serikali inatumia nguvu kubwa kiasi hiki kuwaondoa Wamasai , ni kwamba haiwezekani kufanya mazungumzo ya amani ?

Taarifa zinaonyesha kwamba Wananchi wameshika mishale na wako Tayari kwa lolote , Je huku ndiko tunataka kwenda ?
Umesahau ya kwamba generali le JPM mtetezi wa wanyonge hayupo!!??
mtamkumbuka tu kwa njia moja ama nyingine!! Hahaaa
 
Kama wananchi wa kawaida na wananchi wa Tanzania, tunahuzunishwa sana na haya yanayofanyika sasa pale ngorongoro. Eneo lile ni eneo asilia la wamasai tangu zamani lakini leo hii mwarabu awe na haki zaidi ya kulichukua eneo lililokaliwa na mtanzania kwa nguvu na serikali inamsapoti mgeni kudhurumu haki!. Hakika inatia huzuni kubwa.

Wananchi wanateseka sana huku mgeni akitucheka. Mungu ingilia kati!.
 
Ndio amebariki kwa moyo mkunjufu kabisa.

Haya mambo yanafanyika na anafahamu.
 
Watu ni walewale wa awamu ya nne kasoro muasisi wa awamu ya nne.

Wanaendeleza yalyosalia kutekelezwa wakati awamu ya nne inaondoka madarakani.

Hii ni awamu ya nne kwa kila njia utakavyo kuiangalia.
Japo kila siku wanjitahidi kutuaminisha kwa midomo yao hali ni tofauti, lakini matendo yao yanazidi kuwaonesha walivyo na udugu wa karibu na ile awamu ya nne ya wapiga dili.
 
Kweli waafrika....really sisi ni third class. Yaani tunampa MTU eneo LA nchi yetu tena lenye manufaa kiasi hicho? Roho ya utalii nchini? Ubinafsi na elimu vitaliangamiza sana hili taifa
 
Back
Top Bottom