Yericko Nyerere
JF-Expert Member
- Dec 22, 2010
- 16,987
- 20,271
Juzi tarehe 26/05/2014 cabinet imekutana kwa "siri" kujadili escrow na leo huenda party caucus ya ccm ikakutana kuhusu escrow. Wabunge wa ccm wamegawanyika. Wengine wanaunga mkono hoja ya kuundwa kamati teule ya bunge kuchunguza na wengine wanashauri kudhibiti suala hili kupitia CAG na PCCB.
Kama imekutana kwa siri wewe umejuaje kama ni kwa siri kwavile umeweza kujua kuwa ni kwa siri tuambie pia wajumbe walioketi kwenye hicho kikao ni nani na nani.Juzi tarehe 26/05/2014 cabinet imekutana kwa "siri" kujadili escrow na leo huenda party caucus ya ccm ikakutana kuhusu escrow. Wabunge wa ccm wamegawanyika. Wengine wanaunga mkono hoja ya kuundwa kamati teule ya bunge kuchunguza na wengine wanashauri kudhibiti suala hili kupitia CAG na PCCB.
Upinzani Msiruhusu Zitto kusogeza pua kwenye huu mtanange, atauza mechi
Kama imekutana kwa siri wewe umejuaje kama ni kwa siri kwavile umeweza kujua kuwa ni kwa siri tuambie pia wajumbe walioketi kwenye hicho kikao ni nani na nani.
Kwanza ujiulize kama unaijua maana ya Cabinet....!Kama imekutana kwa siri wewe umejuaje kama ni kwa siri kwavile umeweza kujua kuwa ni kwa siri tuambie pia wajumbe walioketi kwenye hicho kikao ni nani na nani.
Kama imekutana kwa siri wewe umejuaje kama ni kwa siri kwavile umeweza kujua kuwa ni kwa siri tuambie pia wajumbe walioketi kwenye hicho kikao ni nani na nani.
Kama imekutana kwa siri wewe umejuaje kama ni kwa siri kwavile umeweza kujua kuwa ni kwa siri tuambie pia wajumbe walioketi kwenye hicho kikao ni nani na nani.
Kama imekutana kwa siri wewe umejuaje kama ni kwa siri kwavile umeweza kujua kuwa ni kwa siri tuambie pia wajumbe walioketi kwenye hicho kikao ni nani na nani.
Siyo kweli muongo hizi hoja ulizoweka hazibebi uhalisia wa mambo unayotaka kuyasema ni mawako yenye harufu ya ukawa ndani yake bila ushahidi tupishe ndugu.
Kama imekutana kwa siri wewe umejuaje kama ni kwa siri kwavile umeweza kujua kuwa ni kwa siri tuambie pia wajumbe walioketi kwenye hicho kikao ni nani na nani.
Mambo nyeti ya nchi yanaamuliwa kwanza kichama!!!!!!!!!! maana yake maslahi ya kichama yanaangaliwa kwanza!!!!!! Chama kwanza nchi baadae.............mbona iko wazi sana......kwanini kama CCM wanadhamira safi wasiruhusu mjadala wazi ili sisi wananchi tujue wanachukia ufisadi na wabunge wao wapo huru kujadili kwa maslahi ya taifa?
Tunahitaji katiba bora itayosimamia hivi vyama ambavyo bado vinaota falsafa ya chama kushika hatamu.........
zito angekuwepo katika bunge la bajeti hii,tungekuwa tunaongea mengine kabisa sasa.Upinzani Msiruhusu Zitto kusogeza pua kwenye huu mtanange, atauza mechi
Wacha kuleta ushenzi kwa hoja ya za kipumbavu,wale waliogawana hizo pesa za escrow waliitisha mkutano wa hadhara wa kugawana??!! Mbona imejulikana??!!
Mara ngapi CCM wanaitishaga vikao vya siri kwa ajili ya kuzima hoja muhimu zinazohusu maslahi ya umma na uchumi wa Taifa??!!
Kazi yenu ya diversion ya hoja muhimu ni ya kulaaniwa,kuta kucha mnashinda mitandaoni kwa ids zile zile kutetea uozo kwa hoja za kipuuzi,ptuuuuuu!!!
hilo ndilo tatizo pekee na udhaifu mkubwa aliouacha hayati baba wa taifa.....aliposema bila ccm madhubuti nchi itayumba...badala ya kuweka nguvu kubwa kwenye taasisi kama mahakama etc...nguvu zote za taasisi zikabebwa na chama...na hili ndilo limeua sana mashirika mengi ya nchi hii....maana waamuzi wakubwa wa mambo walikuwa viongozi wa chama katika mashirika hayo tena wasio na ujuzi na elimu yoyote....hali hiyo imeendelea kuwepo hadi leo katika namna nyingine kama hiyo hapo juu kwenye thread.