renall big
Senior Member
- Dec 16, 2012
- 107
- 18
wanajamii nijuzeni tafadhali.je tuamini yanayotokea tz sababu yake inaweza kua hadi sasa hakuna kiongozi ambae viatu vya mwalimu jk nyerere vimemtosha au tuamini kua haya ni madhila ya kuchagua viongozi wakuu wa nchi kwa kutazama uzuri wa sura zao?nakupenda mama yangu tanzanzania.