pageup Senior Member Oct 12, 2012 156 59 Apr 19, 2013 #1 huyo ni mlemavu wa kwanza asie na miguu kuupanda mlima wa kilimanjaro(mlima mrefu zaidi africa),jina limenitoka sijui mnaweza kunikumbusha????!!! Attachments 289113-3-or-1340565353 (1).jpg 22.7 KB · Views: 572 289113-2-or-1340565352.jpg 10.2 KB · Views: 576
huyo ni mlemavu wa kwanza asie na miguu kuupanda mlima wa kilimanjaro(mlima mrefu zaidi africa),jina limenitoka sijui mnaweza kunikumbusha????!!!
Mshuza2 JF-Expert Member Dec 27, 2010 11,044 16,518 Apr 19, 2013 #3 Dah, yaani watu na viungo vyetu vizima bado tunaishia kutazama picha tu, ngoja niweke nia!