Yanakodishwa

Yanakodishwa

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
376,454
Reaction score
872,084
1462009429137.jpg
 
Kwahyo hao ndo wameota kwenye mti, ama wamepandikizwa!?
 
Ahaha, sipati picha mtetea akijimix kwenye choo cha kiume hapo!!
Mande...mdondo...! Halafu bahati mbaya sana ana tundu moja tuu
Hilo hilo mapenzi
Hilo hilo uzazi
Hilo hilo haja kubwa
Hilo hilo haja ndogo
[emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Ufugaji wa aina hyo unahimiza mapenzi ya jinsia moja![emoji86]
 
Ukipita sehemu kma hyo lazma ule kona kwanza ukaskilizie kwa mbele!
 
Wapo 56 kwa bei ya jogoo hapa mtaani buku 20@ unapata 1,120,000/-
 
Ukiambiwa Kuwa una nyege za kuku, wewe ni hatari sana...
 
Back
Top Bottom