Usiandike kama shoga wewe!so sad. hawa vijana nawakubali xana. ila wakibxha kujtoa kundni wamekwisha coz fitna za fella, babu tale wakixhrkiana na ruge ni hatar.
system ni mbovu. mi mwenyewe karbu naanzixha kiwanda cha kurudufu kaz za waxanii. wote bongo movie n fleva. ndo hvyo hvyo tunavyoishi.
so sad. hawa vijana nawakubali xana. ila wakibxha kujtoa kundni wamekwisha coz fitna za fella, babu tale wakixhrkiana na ruge ni hatar.

Tatizo mnaangalia upande mmoja mnasahua kwamba hili ni swala la kibiashara sio burudani tu kuwafurahisha mashabiki na kuwanufaisha wasanii, lakini pia hawa wasanii ili wasimame na kuweza kufanya kazi za kiwango stahiki nyuma yake lazima kuwe na mtu anaebeba huu mzingo, kimsingi fella amewekeza ya moto band, hivyo usitegemee yeye apate 25% halafu wasanii wake wapate 75% ya kinachoingizwa na band.
Sio kila mtu ili ale nilazima akajipange ubungo kubeba mizingo, kila mbuzi atakula kulingana na urefu wakamba yake, wewe ukiweka nguvu mwingine anawekeza pesa, hivyo usitegemee utakula sawa na aliewekeza pesa. maisha ndivyo yanavyokwenda hauwezi kuwa na kila kitu uwe na pesa pia uwe na kipaji cha muziki, unakipaji unamtafuta mwenye pesa akuinue.