Yamenitokea haya....

KATASAN'KAZA

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2013
Posts
3,097
Reaction score
1,356
Hapa jamii forum kuna wanawake sijui wanasichana maana nashindwa ata niwaiteje wako humu time yote wanasaka wanaume wala hawana mpango wa kuolewa...!

katika harakati zangu za kutaka kutimiza kiapo changu cha kuwa mke wangu lazima nimpate humu jf nikajikuta namtongoza mdada ambaye tuliwahi kudate naye cha kushangaza anazuga anikumbuki huku mimi na mkumbuka mpaka id yake hapa jf, nilijifanya na mimi simkumbuki tukatongozana upya akakubali kila kitu sasa kinachonishangaza hivi kweli anikumbuki au analake jambo mdada huyu....!

ila, uzoeefu nimefuatilia sababu ya wanaume kutopata wanawake humu nikakuta wengi wa wanaotafuta wanaume ni wale wale utafiti wangu nimeufanya kwa watu 5 nikakuta 3 kati yao ni wale wale wanatumia id tofauti.

kama wewe ni mfuatiliaji utashangaa wengi wa wasichana wa humu wanatabia zilezile...! wababe, wajeuri, wanajidai wanakipato cha kutosha kumbe no, na wengi wanajisemesha ndoa siyo diri kwao ,,,

namomba uzoefu wen kwa hili....
 
kiukweli sijaelewa na hata ukinipa mtihani wa hiki ulichoandika nitafeli

by the way ngoja wenye uzoefu waje
 
Duh ngoja waje aiseeeee
Wenzio huwa hatutongozi personality tunatongoza uchumi
 
wenda wewe si mmoja wao ndiyo maana haujaelewa! lakini pi kufeli na kufaulu ni tabia za watu!
kiukweli sijaelewa na hata ukinipa mtihani wa hiki ulichoandika nitafeli

by the way ngoja wenye uzoefu waje
 
sasa una omba uzoefu kwa lipi? kutongoza kwenye JF au? wewe mwenyewe KATASAN'KAZAunatumia ID ya uongo alafu unakuta demu nae anatumia ID ya uongo, siku mnakutana kumbe ni maza ako
 
Last edited by a moderator:
jf is fake..at beginng nlichukulia serious lkn nkagindua watu wapo fake sana
 
Hahahaha!!
Pole maana naona yamekutoka ya moyoni..
sio kweli kwamba wadada wanajidai wababe na jeuri, ukweli ni kwamba siku hizi wengi wanajielewa na wapo vizur kwel kiuchumi sasa kama ulidhan ukitangaza ndoa yako madem watakuja kwa magoti kwako, utakuwa umejitia kidole cha macho mwenyewe..

hahahahaaa!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…