Yamenikuta

Duh kwanza hongera kwa kuukataa huo mchezo mchafu,pili kwa umri wako bado mdogo kwa hekaheka kama hizo hana nia nzuri Huyo akikuzoesha huwez acha so tabia nzuri hiyo, pili naamini kama ndo wakwanza na anamtoto bhas babydady wake hawajaachana kuwa makini fata moyo wako unachokwambia.
 
Una-date na mke wa mtu eeeh,ngoja siku ufumaniwe utaipatapata fresh UA shamba
 
ila naskia ni tamu mkui
 
U r beautiful (korean drama)
Go Mi Nam
 
don't ever try oooooh hakufai huyo hata kidogo ni mchenzi wa tabia
 
hahahahahahhahah
Nimesoma toka mwanzo nakuja kukuta point mwishoni. Wakati mwingine jifunze ku-samaraizi.

BTW, msalimie huyo manzi wako.
ahahhahahahahahahha
 

Hivi nyie watoto vyuo c vimefunguliwa rudini haraka mkasign boom
 
Sasa kujitunza kote ukaja angukia kwa single mother? Kweli nyege hazijawahi muacha mtu salama. Japo akili yangu imekataa kuiamini hii thread kama ni ya kweli.
 
Ikiwa imani inakukataza kufanya nyuma unaamini ushauri tutakao kupa utakuwa na nguvu kuliko imani yako?
 
hahaa mwanaume unajitunza bikira kwa ajili ya ndoa!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…