Poleee kwa hilooo na hongera kujitunzaaaa ..... lkn m hoja yng n
1... mdada huyo hazimtoshi mana km antk ageuzwe afuanainsist .... c mwm ukizingatia na situation yako.... atakuharibiaaa.... wasichana n wng ..... run for u a lifeee
2..... umeshajua ana mtu na wamezaaa ..... bd unatafutako nin .... utakuja achwa solembaaaaa ...... mapenz ynauma aseee
3.... mpeleke hospital achunguzwe uckute ana mental illiness .......... maamuz memaaaa
poleh kaka yangu, me nilijua tu boys ndo wanawaforce mademu zao kuwageuza,,, kumbe hadi wasichana, , kweli dunia imekwisha,,,,,, achana nae hakufai huyo,,, utakosa kumuona mtume kwa kitendo hicho,,,,
Asante Mkuu Zagaa,nimepata kitu hapa...
Ashraf ndo imekuwa Ashrough?
hahahah mi sikuelewa aisee kumbe ni swaga. Huyu dogo bwana sijui hata cha kumshauri kama swaga zenyewe ndio hizi!!Ashraf ndo imekuwa Ashrough?
Ashraf ndo imekuwa Ashrough?