Yamenikuta

Mkuu ata kama sijaona vizur macho yeye nyumba ya mwanaume alienda kufanya nini na kupigwa picha kabisaa
Umejuaje kama ni nyumbani kwa mwanaume..!? Umemuona huyo mwanaume.. labd kwa rafiki akee wa kikee... na huyo alokutelea taarifa labd anakutaka so anataka kuwagombanisha!??
 
Umejuaje kama ni nyumbani kwa mwanaume..!? Umemuona huyo mwanaume.. labd kwa rafiki akee wa kikee... na huyo alokutelea taarifa labd anakutaka so anataka kuwagombanisha!??
Mkuu uyo aliyenitumia iyo picha ni mwanaume siyo mwanamke
 
Misaidiee mkuu nifanyejeee
Ok nilijua utani .....
Kwanza relax shits happen.
Muulize huyo rafiki ni nii hicho na alichukuliwa wapi
kisha mtumie huyo mpenzio hiyo picha upate upande wake ,kisha uje ,aidha usisahau kumdanganya unazo zingine nyingi na umepigiwa na watu wawili
 
Mzee kwako kuna kitu nimepata ngoja niufanyie kazi ushauri wako
 
Sawa mkuu ila usimuache chukulia hii ni nafasi yako kumjua zaidi na kwenda hatua za mbele ukimpata na crime jifanye umepiga chini usipokee simu kama wiki anyooke kisha rudiana naye kwa sharti la kumbadilishia line zote
Mzee kwako kuna kitu nimepata ngoja niufanyie kazi ushauri wako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…