YAMENIKUTA WAKUU.

gijos

JF-Expert Member
Joined
Nov 12, 2017
Posts
1,187
Reaction score
1,847
Msaada tafadhali hii niliyokua natumia ni GB whatsap.nifanyeje na un-official whatsapp kwangu ndio mpango mzima
 
So suruhisho ni nn mkuu.maana me napenda sana kutumia unofficial.vip wanaweza wakanipiga ban tena.
Wamekuban kqa muda huo waliouonesha, subiri usokate hapo huo muda ukitimia wana ku unban.

Mimi leo waliniban kwa muda wa Dakika 36.
 
So suruhisho ni nn mkuu.maana me napenda sana kutumia unofficial.vip wanaweza wakanipiga ban tena.
Ukifunguliwa baadaye utapigwa ban tena.....hizo ni warnings ukikaza ubio means unatafuta permanent ban...
 
Wamekuban kqa muda huo waliouonesha, subiri usokate hapo huo muda ukitimia wana ku unban.
Mimi leo waliniban kwa muda wa Dakika 36.
Usipuuzie hizo warnings otherwise forget about WhatsApp on that number..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…