Bailly5 JF-Expert Member Joined Mar 11, 2015 Posts 16,553 Reaction score 35,424 Jun 26, 2015 #21 NUHWAHI said: uandishi huu ulinifanya niache kabisa matumizi ya FACEBOOK..ndipo nikawa najifariji na GREAT THINKERS..toka mwaka2011 mwezi wa12...lakini kuja mwaka2014 watu wamezidi kutuletea upuuzi wa FACEBOOK hapa jamani... Click to expand... tatizo mazoea yakizidi ndo mambo yanakuwa hivi.
NUHWAHI said: uandishi huu ulinifanya niache kabisa matumizi ya FACEBOOK..ndipo nikawa najifariji na GREAT THINKERS..toka mwaka2011 mwezi wa12...lakini kuja mwaka2014 watu wamezidi kutuletea upuuzi wa FACEBOOK hapa jamani... Click to expand... tatizo mazoea yakizidi ndo mambo yanakuwa hivi.
nameless girl JF-Expert Member Joined Apr 22, 2012 Posts 4,195 Reaction score 2,690 Jun 26, 2015 #22 Unadhani qualification ipi itakayokufanya usamehewe?
Viva89 JF-Expert Member Joined Sep 28, 2012 Posts 1,262 Reaction score 530 Jun 26, 2015 #23 jamani, huyo si kimada tu...achana nae,ukipata mwanamke utakayempenda utajua cha kufanya
Tamatheo JF-Expert Member Joined May 28, 2012 Posts 3,298 Reaction score 1,562 Jun 26, 2015 #24 Mbona na wewe kibuzi chake tu.... Wanaojua tarehe za kufunguliwa shule waniambie ili nipange kutoka huku kwa muda
Mbona na wewe kibuzi chake tu.... Wanaojua tarehe za kufunguliwa shule waniambie ili nipange kutoka huku kwa muda
Madame S JF-Expert Member Joined Mar 4, 2015 Posts 17,179 Reaction score 34,529 Jun 26, 2015 #25 Mtaka yote kwa pupa hukosa yote
F Fedhuli JF-Expert Member Joined Jun 24, 2013 Posts 351 Reaction score 123 Jun 26, 2015 #26 jinsi yako pleeasse!
wambagusta JF-Expert Member Joined Nov 28, 2014 Posts 2,840 Reaction score 2,332 Jun 26, 2015 #27 Episode 1
The Palm Tree JF-Expert Member Joined Apr 13, 2013 Posts 7,950 Reaction score 12,550 Jun 26, 2015 #28 Oa yule umpendae wewe, achana na kubebanisha kimada juu ya kimada, wala hiyo sio sifa njema at all!. Laiti ningekuwa mimi wewe, wala nisingeleta hili humu kwa vyovyote!!
Oa yule umpendae wewe, achana na kubebanisha kimada juu ya kimada, wala hiyo sio sifa njema at all!. Laiti ningekuwa mimi wewe, wala nisingeleta hili humu kwa vyovyote!!
M Mheshimiwa3 Member Joined May 22, 2015 Posts 46 Reaction score 5 Jun 26, 2015 #29 Naungana na dada dori, umeshalikoroga hivyo wapige chini wote halafu tafuta mwingine na uwe mwaminifu kwake !
Naungana na dada dori, umeshalikoroga hivyo wapige chini wote halafu tafuta mwingine na uwe mwaminifu kwake !