Habari Zenu Wana-MMU,..
Mwenzenu leo yamenikuta juu ya huyu mpenzi wangu,..
Baada ya mpenzi wangu kurejea nyumbani kutoka katika pilikapilika za siku akanikuta nimejipumzisha kwenye sofa huku nikifuatilia taarifa ya habari BBC,.
Alipoingia akanisalimia na kisha akabadili nguo na kuingia bafuni kuoga,.
Baada ya dakika chache akiwa bafuni simu yake ikaanza kuita, nikamjulisha na yeye akaniambia niipokee kwa niaba yake na bila hiyana nikafanya hivyo, kumbe alikuwa mfanyakazi mwenzake na nikamwambia apige baada ya dakika kumi.
Wakati naichomoa simu kwenye mkoba wake mara ikadondoka pakti ya kondom ya kike,..
Hofu yangu:
Sijawahi kushiriki tendo na huyu mpenzi wangu tukiwa tunatumia hii mipira ya mapenzi,.
Sasa najiuliza alikuwa akiipeleka wapi??
Nimemuuliza kanijibu alipita mahali wakawa wanaigawa bure kwa hiyo akaamua kuichukua tu,.
Sasa bado najiuliza iweje achukue kitu ambacho hakitumii??
Labda huyu mpenzi wangu ana mtu mwingine na mimi sifahamu!!
Hebu nisaidieni wana-MMU,..
Hujalizika na jibu lake???? na inabidi umshukuru kwa kutumia kinga anakuepusha na magonjwa.
mtihani lakini usijali sana mkuu,mimi binfsi huwa naamini waif huwa analiwa huko nje so huwa sina pressure,coz najua anawatu wake wa zamani kabla hajakutana na mimi na sijui waliachana vip,nimekuwa na mentality hii hata kabla hatujafunga ndoa,so nimejizoeza kukiona kama kitu cha kawaida sana kwangu ndo maana hakiniumizi moyo.nishajiwekea mazingira ya hata kama ikija kutokea kuwa kweli nisipanik wala kuwa na papara.mambo mengine yachukulie kama yalivyo
Habari Zenu Wana-MMU,..
Mwenzenu leo yamenikuta juu ya huyu mpenzi wangu,..
Baada ya mpenzi wangu kurejea nyumbani kutoka katika pilikapilika za siku akanikuta nimejipumzisha kwenye sofa huku nikifuatilia taarifa ya habari BBC,.
Alipoingia akanisalimia na kisha akabadili nguo na kuingia bafuni kuoga,.
Baada ya dakika chache akiwa bafuni simu yake ikaanza kuita, nikamjulisha na yeye akaniambia niipokee kwa niaba yake na bila hiyana nikafanya hivyo, kumbe alikuwa mfanyakazi mwenzake na nikamwambia apige baada ya dakika kumi.
Wakati naichomoa simu kwenye mkoba wake mara ikadondoka pakti ya kondom ya kike,..
Hofu yangu:
Sijawahi kushiriki tendo na huyu mpenzi wangu tukiwa tunatumia hii mipira ya mapenzi,.
Sasa najiuliza alikuwa akiipeleka wapi??
Nimemuuliza kanijibu alipita mahali wakawa wanaigawa bure kwa hiyo akaamua kuichukua tu,.
Sasa bado najiuliza iweje achukue kitu ambacho hakitumii??
Labda huyu mpenzi wangu ana mtu mwingine na mimi sifahamu!!
Hebu nisaidieni wana-MMU,..
...ujue almanusura achinjwe...mmhh! Ukiona manyoya-!
..Mbona kama mnamzingua mshkaji hivi..r u dr kweli...?!!Huyo anakupenda na anakulinda mwaya, mpe zawadi!