Hatimaye interuiew iliyokuwa inasubiriwa kwa hamu na iliyokuwa na ushindani mkubwa/assistant accountant-udom imemalizika. Kwa mujibu wa taarifa zilizo patikana kwa msimamizi wa usahili uwo mesema matokeo yatawekwa kwenye mtandao mara baada ya mchakato kukamilika