Kwangu yapo kwa wale wanaohitaji karibuni. Kware na mayai yake..Sungura..kuku wa aina zote isipokuwa broila na wa mayai. Na kuku kuchi pia wapo. Karibuni..0777362964 whatsap tu.
Sent from my SM-N910C using JamiiForums mobile app
Mkuu jiulize hii habari ilianzia wapi?
Ilianzia namaingo business agency.
Sasa waliamia kwenye sungura na kilimo cha madodoki....
Namaingo Mungu anawaona yani watanzania wanadanganywa daily