Kanuniya68
Senior Member
- May 26, 2013
- 157
- 44
Nimemsikiliza kwa makini ndugu ole sendeka akizungumza bungeni,lakini napenda nitamke wazi huyu jamaa ni mnafiki. Anadai kuna chama kinawagawa watanzania,kwa kufanya vurugu arusha. Eti anadai jana aliona watu wakisema pipoz barabarani arusha! Kwa madai wake ,eti kunawanasiasa uchwara arusha wanawagawa watanzania na kuhamasisha vurugu! Ajabu,hajaonyesha masikitiko yake juu ya mlipuko wa bomu,hajasisitiza waliofanya uhalifu huo wakamatwe,wala hajatoa pole kwa wafiwa,na chadema kwa ujumla! Ame2mia muda mwingi kukituhumu chama ambacho hajakitaja eti ndio chanzo cha vurugu! Huu ni unafiki, hivi wanäarusha kuipenda chadema ni makosa? Wanaarusha kutoiunga mkono CCM Maanayake wamegawanywa? Haikubaliki na ashindwe