Dali Mpofu
Senior Member
- May 9, 2021
- 173
- 329
Wanataka wenye helaAsilimia kubwa nimekulia kijijini, elimu yangu primary, Olevel, A.level zote nimesoma vijijini. Kidogo chuo nikabadili mazingira ya mjini lkn napo ilikuwa nje ya mji. Kwaio mambo mengi ya kimjinimjini sijawai kuyajua kwakifupi mambo ya mjini mi mshamba
Kuna issue moja imenishangaza/ilinishangaza nilipofika mjini hasa miji mikubwa nimezidi kuwa mshamba.
Nilishangaa sana kuona wanawake wengii, wazuri vijana wanaita mali safi, wenye elimu pia maisha safi wako single wanaishi pekeyao tu bila wanaume,ni wengi (hii hali ni nadra kukutana nayo kijijini).
Nimekuwa na maswali mengi sana, sitaki niamini wanaume mjini wanafeli kiasi hicho wala sina sababu za kukubalina kwamba wanawake wa mjini ndo wanapenda ivo.
Ni nini hii!?
Mchawi hela, tafuta helaa.....usirud bushi mikono mitupuAsilimia kubwa nimekulia kijijini, elimu yangu primary, Olevel, A.level zote nimesoma vijijini.
Kidogo chuo nikabadili mazingira ya mjini lakini napo ilikuwa nje ya mji.
Kwahiyo mambo mengi ya kimjinimjini sijawai kuyajua kwakifupi mambo ya mjini mi mshamba.
Kuna issue moja imenishangaza/ ilinishangaza nilipofika mjini hasa miji mikubwa nimezidi kuwa mshamba.
Nilishangaa sana kuona wanawake wengii, wazuri vijana wanaita mali safi, wenye elimu pia maisha safi wako single wanaishi pekeyao tu bila wanaume ni wengi (hii hali ni nadra kukutana nayo kijijini).
Nimekuwa na maswali mengi sana, sitaki niamini wanaume mjini wanafeli kiasi hicho wala sina sababu za kukubalina kwamba wanawake wa mjini ndo wanapenda hivyo.
Ni nini hii!?
Sijathibitisha hiloWanataka wenye hela
Mmeshindwa wana mji mi wa kuja nitaweza?Mchawi hela, tafuta helaa.....usirud bushi mikono mitupu
HahahaKwisha habari yako achana na ayo makatuni tafuta ela
Rudi bush mapema sasa, bado upo mjini?? Hyo kamba mguuni bado haitoki tuMmeshindwa wana mji mi wa kuja nitaweza?
Mnafeli pa kubwaRudi bush mapema sasa, bado upo mjini?? Hyo kamba mguuni bado haitoki tu
HahahaHaya Ng'olo Kante tumekuelewa
Kwanini?Masingo maza hayo we jichanganye