Yaliyonikuta Zanzibar - Rushwa tupu!!!

Fidel80 KwaRaju unapafahamuuuuu du ndiyo maana unapenda kujiXpressssssss!

Pole kaka
Pole Swahib na usinchekshe!. Panafungwa hapo kwa Raju- Mwezi huo Babu!!!!
Sasa nione Sabri nikupe introduction Machimboni- Dambwe. Lakini jifunze kucheza Dhuna, karata- wahedi wa stini, mrambo au chanis, na ukiwa unavaa shuka(kule kwenu mnaita msuri) basi rasmi!!! na haswa ukiweka na bagharashia (kwetu tunasema kiua) juu-poa moto lakini game kuanzia after iftar hadi kula daku..
 
Hivyo ni baadhi ya vituko vya Zenj!..... Pole sana

hahahahahah!......si utani!....zanzibar kuna vituko sana....aisee umenikumbuha miaka ileee pale zanzibar.....nitafute watu wanatia timu bongo kesho!....watu weweeee ushindwe wewe tuu...
 
hahahahahah!......si utani!....zanzibar kuna vituko sana....aisee umenikumbuha miaka ileee pale zanzibar.....nitafute watu wanatia timu bongo kesho!....watu weweeee ushindwe wewe tuu...
Usijali Kelly kama hujapata wa kukupeleka Forodhani- kula Mbatata za urojo- si ulizia Sabri tu.
 
hahahahahah!......si utani!....zanzibar kuna vituko sana....aisee umenikumbuha miaka ileee pale zanzibar.....nitafute watu wanatia timu bongo kesho!....watu weweeee ushindwe wewe tuu...
Yaani umeondoka kimya kimya sio? Well, nitakutafuta basi... Halafu wewe Sabri hebu tulia
 
Dilunga una hasiraaaa....!!!Tehe.tehe,tehe,tehe....!!!!
Pole vakwavwe!
 
Ushukuru kukumbana na hilo kuna wenzio hukumbana na makubwa zaidi hata katika jamii ni fedheha, pia nakupa wasia usije ukapombeka na kuanguka vijana watangunga na wewe,kuna wengi hawataki kurudi tena zanzibar baada ya matukio kama hayo, kazi kwako.(hiyo sehemu wameipa jina wanaita K,mwitu)
 
Wacha kutisha watu weye...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…