Yaliyonikuta jana jioni

inauma , ila ndiyo hapo itabidi uchukue hatua stahiki............

ila kwa staili kama hiyo ya manuu hapo juu , unadhani kuna mtu atakutwa hapo?????

kumbuka za mwiz ni 40 na mara nying shetan hupenda sana kulaghai na kuabisha. Mazngira kama yale inawezekana ila sema tu jamaa sku yake ilikuwa bado
 
kumbuka za mwiz ni 40 na mara nying shetan hupenda sana kulaghai na kuabisha. Mazngira kama yale inawezekana ila sema tu jamaa sku yake ilikuwa bado

nyingi sana sasa ndiyo zinapigwa kwa staili hiyo ya manuu mkuu..........
 
Mi wasiwasi wangu sijui kama kondom ilikumbukwa,maana usione watu wamejirahisisha bure wengine wameoza ndani kwa ndani .mtt jicho jicho sura umbo no 8 tolu wingi wanja umetulia lakini .......................................................
 
Hata condom hamkutumia

Kweli vita dhidi ya kale kaugojwa imefeli
 
Na mkirudi home kwenu kwa wenzi wenu hamkawii kusema oh 'Roho wa Bwana' alishuka kwenye mahubiri leo kumbe ni roho wa uzinzi.

Na kwa wenzi wenu pia, hamchelewi kuwadanganya na kuwaambia leo mahubiri yalikuwa mazuri sana yaani nimeombewa hadii nimeokoka, kumbe ni pepo la uzinzi na wake za watu
 
Kweli Shetani ana nguvu

Najaribu ku imagine pamoja na kosa kubwa kama hili la kugegeda mke wa mtu bado jamaa anapata ujasiri wa kuja jamvini na kumwaga kila kitu hadharani.Suppose mme wake ni member humu kutokana na mazingira aliyoyasimulia ni wazi atajua kuwa ni mke wake.Hebu pima madhara yanayoweza kutokea ni talaka,kweli nimeamini shetani ana nguvu!
 

Sasa hii ndio nini pumba au? unajivua nguo hadharani kwamba huna maadili wala breki
 
jifunze kucontrol hisia zako kitu ulichofanya sio sahihi.
 
Dalili mojawapo ya kuwa mwanamme shoga ni kutembea na mke wa mtu huku ukijua fika ni mke wa mtu,kwa vile siku hizi ukifumwa unakula mke wa mtu basi tigo yako hutinduliwa hivyo ukitembea na mke wa mtu maana yake uko tayari tigo yako kushughulikiwa,kwako ni sawa tigo yako kubanduliwa na tena una hamu tigo yako kubofolewa!

hivyo wote wanaotembea na wake za watu ni mashoga watarajiwa.....ndio,unakasirika nini sasa?kama hutaki kuwa shoga mtarajiwa acha kutembea na mke wa mtu unaiweka tigo yako rehani!
 
He he he, manuu bora hapa umekuwa muwazi.
Bado huwa nakudai ile chenji ya Dubai, hukirudishiaga.

Sasa nyie mlitaka kwenda gesti kuperuzi baibo wakati mmekimbia mkutanoni? Msipoangaliana mtapena mimba sasa hivi.

Na wakaishia kutokuielewa kabisa hiyo baibo yenyewe......atasingiziwaje shetani baada ya hapo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…