Yaliyonikuta 2021

Yote yamepita mzee, kilichopo muoe huyu wa dini na akili za maisha.....

Chondechonde usiwaze wala kumpigia yule mwenye hela eti mrudiane...... Atakupiga na kitu kizito kichwani
 
Mnapanga mipango pamoja halafu unataka yeye ndio atimize! Yaani unalalamika kabisa hajatimiza hata moja zaidi ya kula starehe
 
Nmemwambia yeye ni Marioo ila kapangua kauli yangu, labda wewe atakuelewa..
 
Unategemeaje pesa ya mwanamke?
 
Wewe ni fala kuwapa was awake wengi ujauzito sio urijali
 
Kuna muda unasoma thread ya mtu halafu unatamani angekuwa karibu yako umgee kerbu mbili za moto sana kuamsha akili yake afu ukamate bakora umcharaze viboko vingi sana...... hivi mwanaume na akili zako timamu unapanga whatever unachopanga na kutegemea mwanamke ndo awe mtimizaji kweli jamani?? whats wrong with us wanaume kizazi hiki lakini??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…