aah wapi! unadhani ukishawekwa staili ya mbuzi kagoma utajua kama umeliwa kabang??
yani kuna watu wanajikosesha tu makusudi...
anajaribu moja, mbili, tatu,.. akiona umetulia, anaingia mazima kulaleki!!!!!!
Mkuu hujawahi kuombwa?
Hakyanani mi siku mtu akikomalia kufumua rinda ntamtimuajee bora uhusiano uishe tu,..
ila nako si kuna utam wake mamii??Labda akupige sindano ya ganzi, vinginevyo lazima ujue!
Poleni na majukumu ya siku nzima.
Mwaka mmoja sasa umepita tangu nimeachana na mupenzi wangu sasa (yaani tarehe ya leo kabisa). Huyu mupenzi nilimfahamu kwa kama miezi 4 kabla ya mie na yeye kuanza uhusiano, afu tulivoanza uhusiano tulikaa miezi kama 5 au 6 kabla hatutakavunja amri ya sita coz mie nilikua kwa kipindi hicho nipo mkoa tofauti nae. Kwa hiyo kila tukionana ilikua ni mda mfupi na pia ilikuwa ni sehemu ambazo hatuwezi kwenda kuvunja ile amri.
Huyo mbeibe (Baby) nilikuwa kila tukikutana baada ya kuanza uhusiano lazima ananipiga kikofi cha kwenye t.a.k.o langu, mi nikajua analipenda tuu. Basi hiyo ndo ilikuaga tabia yake kila tukiwa pamoja, akipata tu kaupenyo basi atanipiga kakofi (ka kimahaba lakini), sasa ikafika hiyo siku ambayo tuliamua kukutana mahali ilituvunje amr ya sita.
Balaa lilikua hivi: Alikuja na begi ambayo ilikuwa la laptop, sasa wakati anatoa laptop kakadondoka ka-tube ambacho mi kukaona tuu nilijua kabisa ni KY jelly but nikajifanya sijakagundua coz nilimwacha awe huru asije akakosa amani, (mi niliijuaga KY jelly kwenye muvi) afu ye alivokua nacho nikafikiri labda katumika mlango wa mbele so sikuwa na wasi wasi sana.
Wakati wa maandalizi nkaona mwenzangu yupo busy na nyuma na pia akaanza kupaka ile jelly, si ndio nikastuka nakutoa macho na hamu ya kufanya liletendo kukata yote nikabaki mkavu kama nimeona jini mana macho yalinitoka. Tukaanza kuongea kuwa sipo tayari kwa hilo na ye akaja juu mwisho wa siku tukashindwa kuelewana, ikabidi tuondoke huku hatafanya chochote. Huo ndo ukawa mwanzo wa kulegalega kwa mawasiliano yetu ulipelekea kumaliza kabisa uhusiano huo.
Basi mwenzenu hayo ndo yalinikuta.
Hakyanani mi siku mtu akikomalia kufumua rinda ntamtimuajee bora uhusiano uishe tu,..
ila nako si kuna utam wake mamii??
ila nako si kuna utam wake mamii??
Hivi wanaomong'onyolewa kabang huwa wanafika kileleni, labda wakiprove hili ndo nitaamini kuna raha yake. Vinginevyo ni kujifuja na kutojiamini. Kama mtu ni mtamu atabaki kuwa mtamu tu bila hata ya kutoa kabang!
kwahyo kim ukiambiw kuna kilele kwenye tgo utaitoa iliwe
Never! sitokuja kuitoa tigo yangu, hii ntakufa nayo Wallahi.
Yani siwapendi wanaume wanaotumia tigo. Na siku ntayoombwa tigo ni lazima nipawashe, yani lazima nimuachie mtu tatoo ya meno mwilini. Uushindwe mchicha, utakiweza kisamvu? msonyooooo!
Cc; wapenda tigo wote.
Asee omba tu Mungu akuepushie kukutana na hawa mabazazi. Wala usitamani wakuombe ili uwakomeshe maana wengi hawaombagi. Mtu anashtukia tu haa tayari mabega yamezama. Baada ya hapo analia weee, akichoka anavaa anaondoka huku kanuna.
Eee Mola niepushie! Nakuomba niweke mbali na wazibua mitaro ya maji taka! Ameen.
Its a free world mkuu. U let her go, atampata jembe anaependa hiyo michezo na atalizishwa tu.
Experiance yako haina tofauti na yangu, ila mimi nilikutana na shemale. Yeye alitaka nianze kumkamua yeye "kabaang yake" then anigeuze mimi.
Muda wote nilikuwa sijui kama ni shemale na nilijua baada ya kum-undress, baada ya ku-realize nikajifanya nimesahau kubeba zana hivyo nilimuaga kwa utaratibu tu bila kuonyesha kushtushwa na chochote. From there sikuwasiliana nae tena.
Hii michezo yetu ya kuokota okota wanawake muda mwingine inatu-cost.