Yaliyonifanya nimwache X wangu

Yaliyonifanya nimwache X wangu

Display Name

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2014
Posts
423
Reaction score
451
Poleni na majukumu ya siku nzima.

Mwaka mmoja sasa umepita tangu nimeachana na mupenzi wangu sasa (yaani tarehe ya leo kabisa). Huyu mupenzi nilimfahamu kwa kama miezi 4 kabla ya mie na yeye kuanza uhusiano, afu tulivoanza uhusiano tulikaa miezi kama 5 au 6 kabla hatutakavunja amri ya sita coz mie nilikua kwa kipindi hicho nipo mkoa tofauti nae. Kwa hiyo kila tukionana ilikua ni mda mfupi na pia ilikuwa ni sehemu ambazo hatuwezi kwenda kuvunja ile amri.

Huyo mbeibe (Baby) nilikuwa kila tukikutana baada ya kuanza uhusiano lazima ananipiga kikofi cha kwenye t.a.k.o langu, mi nikajua analipenda tuu. Basi hiyo ndo ilikuaga tabia yake kila tukiwa pamoja, akipata tu kaupenyo basi atanipiga kakofi (ka kimahaba lakini), sasa ikafika hiyo siku ambayo tuliamua kukutana mahali ilituvunje amr ya sita.

Balaa lilikua hivi: Alikuja na begi ambayo ilikuwa la laptop, sasa wakati anatoa laptop kakadondoka ka-tube ambacho mi kukaona tuu nilijua kabisa ni KY jelly but nikajifanya sijakagundua coz nilimwacha awe huru asije akakosa amani, (mi niliijuaga KY jelly kwenye muvi) afu ye alivokua nacho nikafikiri labda katumika mlango wa mbele so sikuwa na wasi wasi sana.

Wakati wa maandalizi nkaona mwenzangu yupo busy na nyuma na pia akaanza kupaka ile jelly, si ndio nikastuka nakutoa macho na hamu ya kufanya liletendo kukata yote nikabaki mkavu kama nimeona jini mana macho yalinitoka. Tukaanza kuongea kuwa sipo tayari kwa hilo na ye akaja juu mwisho wa siku tukashindwa kuelewana, ikabidi tuondoke huku hatafanya chochote. Huo ndo ukawa mwanzo wa kulegalega kwa mawasiliano yetu ulipelekea kumaliza kabisa uhusiano huo.

Basi mwenzenu hayo ndo yalinikuta.
 
Duu pole sn ndg!,ungezubaa angefumua marinda yooote.,ata akikuomba msamaha usithubu2 kumkubalia coz nadhan jamaa ni filauni!
 
Sasa KY Jelly aliipaka kwenye spika(tigo) kama ndiyo alitaka kukupa haramu huyo.
 
Pole sana mpenzi,wanaume na wanawake wasiojitambua ndo watakubali mchezo mchafu wa kuharibiana marinda.
 
aisee pole sana..!

ina maana toka kipindi hicho hujawahi kugegedwa kabisa????
 
aisee pole sana..! ina maana toka kipindi hicho hujawahi kugegedwa kabisa????

Tulikua kikawaida tuu.... hahahahaha.

sikupata hata muda wa kumuuliza coz nilikuwa nahofia usalama wa marinda yangu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom