Dada zetu si dhani kama wamejifunza kitu kutoka kwa Nakaaya. Pengine ajaribu kuandika kwa lugha rahisi na pengine atumie ile lugha ya sisiem (kiswahili). Kwa kweli wemgi wa dada zetu lkn hata kaka zetu wanaumia kwa matarajio makubwa maishani mambayo pengine hayatokei kabisa