Yaliyojiri ulaya mwishoni mwa wiki.

Consigliere

Platinum Member
Joined
Sep 9, 2010
Posts
12,901
Reaction score
27,421
Najua hapa ni Chit-Chat hivyo tunaweza ku-chit chat katika hili pia.

Matokeo ya baadhi ya mechi zilizochezwa barani ulaya wiki hii ni kama ifuatavyo:

Chelsea 5 Southamton 1
Man U 2 Westham 2
Yanga 1 Alumnia 1.

Tehe tehe teheee.

Akhsanteni.
 
FC Barcelona v/s Osusana ngapi ngapi? Je, messi alifunga? Eeeh! Jumla ana magoli mangapi? Je matokeo ya real madrid yakoje?
 
Simaba nao vipi....?? Ooooops sorry kumbe wao hawakwenda Ulaya.
 
FC Barcelona v/s Osusana ngapi ngapi? Je, messi alifunga? Eeeh! Jumla ana magoli mangapi? Je matokeo ya real madrid yakoje?

Not Osasuna ni Espanyol.

FC Barcelona 4 Espanyol 0 (Messi scored the fourth goal by Penalt)

Real Madrid 4 Real Sociedad 3 (Ronaldo alifunga mawili while Xabier Prieto scored a Hat Trick ).

Yanga 1 Alumnia 1....:becky:
 
Simaba nao vipi....?? Ooooops sorry kumbe wao hawakwenda Ulaya.

Tende zimeadimika hivyo wameamua kuzifuata huko huko OMAN japo wao wanasema wanamfuata MPUTU (TP-Mazembe) ili wakacheze nao.
 
kwaiyo Messi alipata mpira? Du, dogo anafunga au wewe unaonaje, kafisha magoli 30 kwenye rigi?
Not Osasuna ni Espanyol.

FC Barcelona 4 Espanyol 0 (Messi scored the fourth goal by Penalt)

Real Madrid 4 Real Sociedad 3 (Ronaldo alifunga mawili while Xabier Prieto scored a Hat Trick ).

Yanga 1 Alumnia 1....:becky:
 
Kumbe Kuala Lumpar Malyasia kadraw eenh...wananikumbusha enzi za kina Sunday Manara kompyuta hivyo vitimu vya Ulaya vilikua vinachezea kichapo tu chini ya mchawi Victor Stanculescu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…