Yaliyojiri: Uhesabuji Kura na Utangazaji Matokeo katika Chaguzi Ndogo kwenye Kata 43 - Novemba 26, 2017

Mlilijua mapema kama polisi ndio tume mbona hamkususa!
Hahahaaaaa mna aibu ila mnajikaza tuu hongeren lakin kwa kushinda kata zote 43 maana kama ni mbeleko tu hakika imewabewa kwa uwazi kabisa , lakin ndio maana idadi kuwa ya wana chadema hawajapiga kura kwa sababu wamejazwa vituo vya polisi hadi wanamwagika hahaaaaaaaaa!! Watu wanalazimisha upendo.
 
Kwa matokeo ya uchaguzi wa awali Kata ya Muriet jimbo la Arusha mjini mpaka sasa CCM inaongoza kwa 73.6 %.

Hii ni message tosha kwa wananchi wa jiji la Arusha kuwa Godless Lema hatakiwi . wananchi wameridhishwa na utendaji wa serikali ya awamu ya tano inayoongozwa na Rais John Pombe Magufuli.

Lema tafuta kazi nyingine ya kufanya.
uajitekenya bunduki ndo zillipiga kura.Lema bado mfalme wa AR
 
Mboe ukijiona uko uchi chutama mboe hali yako imekua mbaya sana nautaaibika vibaya hizi rasharasha mvua inakuja huyu rais sio wa kawaida dunia nzima inamuongelea kwautendaji wake ikifika 2020 kwakas yake hii ujue imekula kwako kama hutajiuzulu nakuachia chama kwamwingine
 
*BREAKING NEWS*
UHT, Arusha Tanzania
26/11/2017
*Matokeo ya Wali, Kata ya Muriet*
Matokeo
VETA kituo number 2
ccm 50
Cdm 15

Kituo born city number 2
Ccm 127
Cdm 62

Born city number 4
CCM 90
Cdm 50
Hao walioshinda labda wakaishi Ikulu
 
Back
Top Bottom