Yaliyojiri: Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki

BigBro

JF-Expert Member
Jan 9, 2010
3,479
11,033
Dondoo za yanayojiri:

- Rais Magufuli achaguliwa na Marais wote wa Afrika Mashariki kuendelea kuwa Mwenyekiti wa Jumuiya ya Afrika Mashariki kwa mwaka mmoja zaidi.

- Jamhuri ya Watu wa Sudani Kusini yajiunga rasmi kwenye Jumuiya ya Afrika Mashariki.

- Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu wa JMT, Benjamin William Mkapa, achaguliwa kuwa msuluhishi wa mgogoro wa Burundi chini ya Uongozi wa Rais Yoweri Museveni.


 
Safi sana. Unataka kusema muda wote huu alikuwa kozi?:D:D:D
 
Ndo anaanza sasa kutetema ung'eng'e. Poa kabisa yaani, katulia vizuri kabisa.
 
haaahaaa anasoma hotuba,alimwandikia alijaribu kutafuta misamiati ya kawaida kawaida inayotamkika,isije akashindwa kusema tena congratulation,alafu huyo maiga awe karibu awe anamulekeza maeneo ya Afrika mashariki na majina ya maraisi wao hachelewi huyo kumpongeza kagame kwa kuchaguliwa tena kuwa raisi wa uganda
 
Back
Top Bottom