Damy Scotty
JF-Expert Member
- Dec 25, 2012
- 717
- 453
Ukawa au CCM?
Habari wakuu! jana nmemsikiliza magufuli alichokua anakiongea pale ilikua ni kuivua nguo serikali ya CCM na yeye akiwemo ndani!
Haitosh sehem kubwa kaongelea mapungufu ya serikali ya kikwete!
Inamana kakiri kikwete nchi ilimshinda au...? kwakweli ile ilikua ni aibu kwa CCM na inaonyesha hakuna hoja mpya ya kuwapa watanzania
Mwisho nihitimishe kwa kusema hivi;-
HUWEZ KULISUKUMA GARI KWA KUKAA NDANI YAKE!