Yaliyojiri Mkutano wa M4C Bukoba

Yaliyojiri Mkutano wa M4C Bukoba

PMNBuko

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2010
Posts
967
Reaction score
155
Ndugu wana JF, leo nimeshuhudia maelfu ya wakazi wa Bukoba wakifurika katika viwanja vya Uhuru Bukoba.

Wapenzi wa CHADEMA wamejitokeza sana, mjini hakukuwa na pakupita.

Kwa hali hii Nnape lazima abaki pekee yake na CCM.
 
mwaka huu magamba wana kazi sana..mpaka mwaka uishe nfikiri kuna watu watakua washapata STROKE
 
Nguvu ya soda
Jipeni moyo wakati m4c inakufa taratibu.
Subili uone Jangwani tutakavyowaonyesha kuwa "HAPA NDIPO ILIPOZALIWA TANU"
 
hapa naona mambo yangu yanayooka kwa kuzisikia habari kama hizi big up M4C

big up CDM
.
 
Nguvu ya soda
Jipeni moyo wakati m4c inakufa taratibu.
Subili uone Jangwani tutakavyowaonyesha kuwa "HAPA NDIPO ILIPOZALIWA TANU"
mkuu Mumeandaa malori mangapi kusomba watu toka mlandizi, morogoro & co ?
 
bukoba mwakola kasinge mubarikiwe msituangushe ndugu zetu
CHADEMA MWENDO MDUNDO
 
weka picha tuwaone wana m4c wa buyekera.
 
Nguvu ya soda
Jipeni moyo wakati m4c inakufa taratibu.
Subili uone Jangwani tutakavyowaonyesha kuwa "HAPA NDIPO ILIPOZALIWA TANU"

Sio sahihi kwa CCM kushindania mahudhurio ktk mikutano.
CCM mnatakiwa kutuambia ahadi na sera zilizotekelezwa na chama chenu na sii vinginevyo.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Bukoba mjini ni wana mageuzi wa kweli maana nakumbuka kipindi kile cha Mh.Lwakatare akiwa CUF(r.i.p) Bkb walifanya jambo la mbolea sana!!

Wasiwasi wangu ni kule kwa wavuna Kahawa!! M4C inabidi isambaze migomba ili watu wauone mwanga wa mabadiliko mapema unaochomoza!!

MUNGU IBARIKI BUKOBA NA M4C!!
 
Nguvu ya soda
Jipeni moyo wakati m4c inakufa taratibu.
Subili uone Jangwani tutakavyowaonyesha kuwa "HAPA NDIPO ILIPOZALIWA TANU"

hapo naona unajizungumzia!
 
Back
Top Bottom