Yaliyojiri: Mkutano wa Halima Mdee ktk Viwanja vya Furahisha, Mwanza - Oktoba 18, 2014

Kura ya wazi wananchi wakiikataa nyaraka ya CCM iliyovalishwa koti la 'Katiba Inayopendekezwa'.

Wakati wanashiriki 'Delete CCM, Futa Kabisa' inayoendelea nchi nzima, wanajiandaa kusema HAPANA!
muziki wa chadema ccm lazima wajifungie ndani kwa aibu
 
Wewe hujui kitu, masanduku yalikuwa ya aina 2, kuna yale mliojaza kura na mengine yaliletwa yakiwa yameshajazwa ili kuupata uongozi wa juu, yaani ile top 5, wee acha kubwabwaja kama bata.

Kweli umeamua kufananisha Ccm na Chadema? Baado tu maumivu ya Mgao yanakusumbua? Tukutane kwenye Serekali za Mita ndio utajua Futa delete ccm ni nini
 
mangikule

You have just put nail on the head...

lakini watu wengi wanafikiri majuzi ilikuwa ni mara ya kwanza kwa Halima kuingia selo kwa sababu ya kupigania maslahi ya wananchi. Alikwenda mara kadhaa, nadhani mara mbili au moja hivi akiwa Mbunge wa Viti Maalum akiwa pamoja na wananchi kadhaa wa Kawe waliokuwa wakipigania haki yao kwenye moja ya migogoro ya ardhi ambako maCCM na serikali yao kama kawaida walikuwa wamepora na kudhulumu wananchi.
 
Last edited by a moderator:

Kamanda Tumaini Makeni namuaminia sana kamanda Halima Mdee nishuja kweli kweli tumepata mtu makini sana Bawacha. Chadema tuna hazina kubwa sana ya watu makini ndio maana watafiti walikuja na jibu Chadema ni Mpango wa Mungu
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…