Mpangawangu
JF-Expert Member
- Mar 5, 2014
- 887
- 965
Jahazi la chadema limezidi kuzama,hii ni baada ya wananchi wa kigoma kusisitiza msimamo wao wa kuikataa chadema. Haya ndiyo yaliyojiri mkutano wa leo.
Benson Kigaila azomewa kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika Mwanga center kigoma mjini baada ya kusema Zitto Kabwe alipewa hoja ya Bunzwagi na sekratarieti ya CDM na kwamba hoja wanazotoa wabunge wa CDM bungeni si zao ni za chama watu wa Kigoma wamepata mshituko mkubwa Kigaila aliposema CDM makao makuu huwa inateuwa viongozi toka Kigoma kwa kuwasaidia na kwa upendeleo maalumu kwani wanakuwa hawana sifa na vigezo akatolea mfano Dr.Kaborou,Zitto,Shaban Mambo na Sabrina Sungura na akaeleza sababu ya kupendelewa kasema ni kura ambazo chadema hupata Kigoma kwenye chaguzi mbalimbali nchini alipozungumza kauli hiyo ndiyo zomeazomea ikazidi.
Na leo ndio ametangaza timu mpya aliyoisimika Kigoma kwenye mkutano huo wa hadhara na kuacha majonzi mjini Kigoma baada ya
kuwa viongozi wote walioteuliwa hawakubaliki kabisa na Watu wa Kigoma.
Na watu wa Kigoma wakaanza kuzomea tena na huku wakisema watu hao hawana uwezo wa kuvaa viatu vya Alhaji Kasisiko,Shabaani Mambo na Msafiri Wamalwa. Ni majonzi makubwa Kigaila Leo Kigoma.
Watu wa Kigoma wameomba viongozi wa ACT-Tanzania waende na kadi za kutosha kwenye mkutano wa hadhara utakaofanyika kesho Ujiji "Cine Atlas" na gari linalotangaza huo mkutano mjini Kigoma linashangiliwa sana kila eneo linakopita.