yaliyojiri "leo tupo hapa pub".

yaliyojiri "leo tupo hapa pub".

Bishanga,
Nyani Ngabu,
nitonye na
Filipo
MUACHENI MUME WANGU JAMANI, KWANINI KILA SIKU NI MASIMANGO TUUUUUUUUUU............
KAMA MNANITAKA SI MMWAMBIE, MTUACHE TUPUMUWEEEEEEEE...........

 
Last edited by a moderator:
Jamani hivi Zinduna yuko wapi mtu mzima Bishanga asutwe na ngoma ya MKODOBWE............LOL

Hii maneno imekaa KIUDAKUDAKU kama magazeti ya LIGONGO
 
Last edited by a moderator:
Jamani hivi Zinduna yuko wapi mtu mzima Bishanga asutwe na ngoma ya MKODOBWE............LOL

Hii maneno imekaa KIUDAKUDAKU kama magazeti ya LIGONGO

Mi nikidai talaka mnasema nivumilie hii si ni aibu bora niendelee na mkakati wangu wa kutafuta mwanaume bikra.
 
Last edited by a moderator:
Jamani hivi Zinduna yuko wapi mtu mzima Bishanga asutwe na ngoma ya MKODOBWE............LOL

Hii maneno imekaa KIUDAKUDAKU kama magazeti ya LIGONGO

tena we Mtambuzi TANMO ndo alisahau kuripoti habari yako,saa kumi alfajiri ulionekana jollies upanga unavuta kibinti cha kichina, mlienda wapi?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom