Kichwa cha habari chahusika...Hafla hiyo iliyofana "off course" tunaelewa nani aliyeandaa kila kitu kwa vyoyote vile isingeacha kufana tena shughuli ya "Dada wa Taifa"..Hata hivyo kilichotuacha midomo wazii wauzuriaji wa tukio la jana ni pale "Bashite" alipopewa nafasi ya kuongea na kuanza kulaumu tabia ya kuwatumia watu wenye kufanya matendo aliyoyaita "yasiyokuwa ya maadili mema kwenye jamii" katika shuguli mbali mbali za kitaifa, uongozi au hafla mbali mbali nchini .Alienda mbali mpaka kutoa mfano wa mmoja wa waalikwa aliyekuwepo jana ukumbini na aliyejipatia umaarufu mkubwa hivi karibuni kwa kuigiza ulevi al maarufu "Pierre Liquid". Sasa ni kwanini watu tulibaki midomo wazi. pengine ni haya maswali yaliyokuwa yanasumbua "Oblangata zetu" mara baada ya kusikia kauli yake.
1. Muandaaji wa tukio lenyewe mpaka anapewa ukuu wa Wilaya alikuwa anaonekanaje kwenye jamii?
2. Wema Sepenga (mtumia unga na changu maarufu wa Taifa) kutumiwa kwenye kamati mbali mbali za Bashite ikiwemo ya juzi ya kuhamasisha watu wauzurie mechi ya Taifa Stars alienda kuhamasisha nini?
3. Bashite kumsifia Diamond kwa tabia zake za kubadilisha mabinti kama boxer na kuendelea kutoa nyimbo za matusi lengo lake ni nini? kama kweli anachukizwa na watu wasiokuwa maadili mema
4. Vijana wa leo wakajifunze nini kwa rafiki zake wa karibu akina" Lemutuz,Steve nyerere,T.I.D???
5. KIONGOZI gani aliyewahi kutoa ahadi ya kulewesha watu kama zawadi kwa furaha ya tukio lolote lenye tija hapa nchini?........
"Any way" labda ndo maana hata hafla yenyewe ilikuwa ni ya kutokomeza " Bashite" na iliandaliwe na " Mabashite" wenyewe na pengine ndio mwanzo wa kutokomezana.