Yaliyojiri katika Mkutano wa CHADEMA, Mbeya

Tumekupata kamanda big up!!!!!
 
Nina sababu ya kuipenda mbeya yangu....
Nina sababu ya kuipenda nchi yangu.....
Nina sababu ya kuipenda chadema.

Viva chadema. You have our support

CC: M23

Mkuu.
Mbeya is bad news! Magamba wanahitaji Ma-diamond kama 1000 kuvunja rekodi ya nyomi ya leo.
 
Last edited by a moderator:
Chadema ni mpango wa Mungu,sifa na utukufu kwa Mungu.
 
One may think Chadema MPs are more dangerous when in the Parliament. When you ban them you may realise that they are even more dangerous out of the Parliament.
And eventually you regret your actions!
 
chadema ndani yangu chadema rohoni chadema mwilini
nikilala chadema nikiamka pia chadema mpaka magamba
yeseme tosha kwa vinywa vyao
 
Tumekupata kamanda big up!!!!!

Mkuu hiyo picha ni original kweli Mbona kama jamaa vidonda vya tumbo vinaweza kuyibuka.ndungai eti akapiga kijembe eti watu wanashangaa Mbona bunge limetulia sana eti Kuna wabunge wameshauri adhabu iongezwe.
 
Kamanda Slaa alikanusha habari iliyoandikwa leo kwny JF na mitandano mingine juu ya uhusika wao na Kuporwa kwa mama wa Zitto na kwamba tupuuze taarifa hizo kwa kuwa yeye na Mbowe hawahusiki na kwamba hizo ni njama za adui zao ktk kudhoofisha chama.


 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…