Mwanafunzimg
JF-Expert Member
- Apr 7, 2012
- 392
- 80
HIKI CHAMA SI TULIAMBIWA KINAKUFA?Mbeya hoyeee, duh hawa wanajitambua tangu kitambo jamani hii nyomi si ya kawaida
![]()
Hapo ndipo unapogundua akili za watabiri zilivyo ndogo
HIKI CHAMA SI TULIAMBIWA KINAKUFA?Mbeya hoyeee, duh hawa wanajitambua tangu kitambo jamani hii nyomi si ya kawaida
![]()
Mkuu unafikiri wao hawajutii uamuzi walichukua.Haya yanatokea sasa yanawaumiza sana.Mkuu hiyo picha ni original kweli Mbona kama jamaa vidonda vya tumbo vinaweza kuyibuka.ndungai eti akapiga kijembe eti watu wanashangaa Mbona bunge limetulia sana eti Kuna wabunge wameshauri adhabu iongezwe.
kaka Mtoi picha kaka ndo mwisho wa fitina
Wakuu,
Leo CHADEMA wanafanya mkutano wa hadhara jimbo la Mbeya mjini, nia ni kuendelea kushtaki uonevu unao fanywa na kiti cha spika.
Mkutano unafanyika kwenye kiwanja maarufu kilicho pewa jina la DR slaa.
YANAYOJIRI:
Maandamano makubwa yametusua katikati ya jiji la Mbeya.
Watu ni wengi sana! Kama kawaida wanakuja kusikiliza kile wanacho kikosa kwenye vyama vingine.
Dr slaa anaonekana ni kipenzi cha wana Mbeya! Naomba niweke hakiba ya maneno!
Mkiti wa Mbeya Mjini, Mwambigija anafungua mkutano: watu wa Mbeya wasingemwelewa Mbunge wao Sugu iwapo asingeinuka bungeni kwenda kuzuia udhalimu na uminyaji haki wa kiti bungeni! Wasingemwelewa!
Anasema muda wa CCM kutawala umesha-expire, kila mtu anajua hivyo. Amewataka polisi kuacha mpambano wa kuwania udiwani wa CHADEMA na CCM, wasiingilie kati kupendelea na kuibeba upande mmoja.
Dkt. Slaa kailipua ikulu kwa matumizi ya kifisadi ya bil. 29, fedha ambazo zimewekwa kwenye kitengo kipya cha Presidential Delivery Beareu! Zingeweza kujenga madarasa 4142 Shule ya Msingi, 2071 sekondari, zahanati 580, vituo vya afya 290, bila kuwachangisha wananchi hata senti!
Dkt. Slaa kamlipua Waziri wa Maji Maghembe kwa kujipelekea mradi wa maji wa bilioni 50 jimboni kwake, wkt miradi mingine ya maji nchi nzima imetengewa bil. 4 tu
Dkt. Slaa amesema Mwakyembe alilazimisha kampuni ya CCM Jitegemee Trading Company, kupata zabuni kwenye eneo la CCM, SUKITA thamani ya bil. 10 kwa kauli ya kushnikiza ''tuwasaidieni tu''
![]()
![]()
bigrita, Mkuu umenipa raha! Ha haa haa!Kazi nzuri sana hii.
Ngoja tuwa format CCM....pentium I.
[![]()
OOOOOOOOOOOH MY GOD.. CAN You BELIEVE THAT...
CCM ANZENI KUBEBA VYENU MAPEMA
Hivi hawa wajamaa leo wako wapi
![]()