Yaliyojiri formsix Leaverz JKT

Yaliyojiri formsix Leaverz JKT

Van dick

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2014
Posts
223
Reaction score
43
Inasikitisha hasa kwa dada zetu,watoto wetu wapendwa wamekwenda kujifunza maisha hata week haijapta Leo napigiwa cm Usiku Huu at kuna askari mmoja anamlazimisha Mdada Mapenz kakataliwa amemuanzishia visa huko kamb ya oljoro Arusha.Nimesikitika sana,JF tufanyeje mm nimemshauri aende kwanza kwa kiongoz wake no response nategemea niwapandie hukohuko nimchomoe my lovly sissy.Mwaka Jana amin msiamin weng wamebakwa...naomba kuwasilisha.
 
Duh! Hili jeshi litatupotezea ndugu zetu kwa kweli. Ngoja wake wenye uzoefu na mambo ya jeshini wakushauri.
 
Jeshi ni kupoteza muda

Mwanangu hatakaa aende jeshi

Huu ni uchafu, huyo mtoto afunge virago vyake arudi nyumbani hata kwa kutoroka

Kama wewe ni mzazi nenda kachukue mwanao
 
Haaaah dunia haina huruma, hivi kwani asipoenda jeshi atakuja pata impact ipiii?? In future
 
Jesh mbona lipo fresh tu,angalia uzur na ubaya wake
 
Inasikitisha hasa kwa dada zetu,watoto wetu wapendwa wamekwenda kujifunza maisha hata week haijapta Leo napigiwa cm Usiku Huu at kuna askari mmoja anamlazimisha Mdada Mapenz kakataliwa amemuanzishia visa huko kamb ya oljoro Arusha.Nimesikitika sana,JF tufanyeje mm nimemshauri aende kwanza kwa kiongoz wake no response nategemea niwapandie hukohuko nimchomoe my lovly sissy.Mwaka Jana amin msiamin weng wamebakwa...naomba kuwasilisha.

jamaa poule sana ndo maisha hayo Jah live mwombe amshike mkono dadako huko alipo.....
Binafsi mchumba wangu yuko ccp tangu mwezi wa 11 sijawahi kumuona sijui hali yake kwa kweli najiuliza kweli karuka vikwazo vya huko salama..?
Mara nasikia wako kilelepori eti miez mi2 yaaniii sasa unapokuja na hizi habari kwa kweliiii naumia roho niajeee.....mkuu Mentor nafikiri wewe anayajua mambo yahuko vyema hembu njoo ututoe wasiwasi kidogo banduguu..
 
Last edited by a moderator:
Inasikitisha hasa kwa dada
zetu,watoto wetu wapendwa wamekwenda kujifunza maisha hata week
haijapta Leo napigiwa cm Usiku Huu at kuna askari mmoja anamlazimisha
Mdada Mapenz kakataliwa amemuanzishia visa huko kamb ya oljoro
Arusha.Nimesikitika sana,JF tufanyeje mm nimemshauri aende kwanza kwa
kiongoz wake no response nategemea niwapandie hukohuko nimchomoe my
lovly sissy.Mwaka Jana amin msiamin weng wamebakwa...naomba
kuwasilisha.
haya kamchukue ur lovly sis mpeleke chuo kuna malecturer tena utamtoa mlete mtaani kuna wazee wa kitaa acha bint akumbane na changamoto
 
bro watoto wakike werevu sana utakuta huko keshabrazuka na maafande kibao huyo aliyekutajia ndio pekee kamtosa unakurupuka et nimfuate labda serikali yenu hii...
 
Thats why sitokaa nioe Dem Police/Mwanajeshi mwenzangu !
 
Kwahiyo hayo mambo ya kutumia nguvu lazima uende . Kuna afande moja alikua nouma pale mgulani jitegemee alitutesa sn alikua anaitwa bruno cha ajabu ata ki malkia hajui dah jeshini siko kabisa.
 
Binafsi mchumba wangu yuko ccp tangu mwezi wa 11 sijawahi kumuona sijui hali yake kwa kweli najiuliza kweli karuka vikwazo vya huko salama..?
Mara nasikia wako kilelepori eti miez mi2 yaaniii sasa unapokuja na hizi habari kwa kweliiii naumia roho niajeee
kama demu wako ni mkali, tayari ameshakua chakula ya wakubwa. ila usiwaze haina makombo ile.
 
jamaa poule sana ndo maisha hayo Jah live mwombe amshike mkono dadako huko alipo.....
Binafsi mchumba wangu yuko ccp tangu mwezi wa 11 sijawahi kumuona sijui hali yake kwa kweli najiuliza kweli karuka vikwazo vya huko salama..?
Mara nasikia wako kilelepori eti miez mi2 yaaniii sasa unapokuja na hizi habari kwa kweliiii naumia roho niajeee.....mkuu Mentor nafikiri wewe anayajua mambo yahuko vyema hembu njoo ututoe wasiwasi kidogo banduguu..

huko ndiko kipimo hasa cha ukomavu wa tabia ya mtu. akimaliza pale hajawahi kugawa basi huyo tunasema ameiva.

otherwise kila mahali kuna changamoto zake..ni uvumilivu tu. yaani utamtoa JKT utamrudisha kitaa akiwa anasubiri chuo washikaji wanajipigia tu. akienda chuo kuna malecturer mabazazi vilevile. kama hana msimamo atamegwa kila anapoenda.
 
Last edited by a moderator:
jamaa poule sana ndo maisha hayo Jah live mwombe amshike mkono dadako huko alipo.....
Binafsi mchumba wangu yuko ccp tangu mwezi wa 11 sijawahi kumuona sijui hali yake kwa kweli najiuliza kweli karuka vikwazo vya huko salama..?
Mara nasikia wako kilelepori eti miez mi2 yaaniii sasa unapokuja na hizi habari kwa kweliiii naumia roho niajeee.....mkuu Mentor nafikiri wewe anayajua mambo yahuko vyema hembu njoo ututoe wasiwasi kidogo banduguu..

anaitwa nani nimpelekee maji ya kunywa?
 
Last edited by a moderator:
Hili jeshi yanayofanyika ni zaidi ya operation tokomeza,ipo siku mtayaona wazi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom