Kurzweil
JF-Expert Member
- May 25, 2011
- 6,622
- 8,410
Bunge la 11 kikao cha 9 mkutanowa 3
Maswali na majibu.
Maswali: Mary Nagu, Je serikali haioni ni vizuri kuwa na CHS iliyoboreshwa kuwa na duka la MSD katika wilaya ya Hanang
Majibu: Mh Suleiman Jafo, Changamoto iko kwenye bajeti na taratibu serikali itajenga maduka kila wilaya pia kuongeza wodi za wagonjwa zinaongeshwa
Swali: Je ni lini serikali itapeleka X-Ray na CT-Scan hospitali ya mkoa Mwanza
Majibu: Hospitali ya mkoa wa Mwanza Sekotoure ina mashine za XT-Scan na kuna mpango wa kuboresha vifaa kwa mikoa yote Tanzania, na muda si mrefu mashine hizi zitapelekwa muda si mrefu
Swali: Serikali imejipangaje kupeleka fedha za miradi ya maendeleo kwa wakati?
Majibu: Njia pekee ya kuboresha zoezi hili ni serikali kuongeza mapato yake kutoka vyanzo vya ndani, hii itasaidia kupeleka fedha za miradi ya maendeleo kwa wakati.
Swali: Miradi mingi haikamiliki kwa wakati na miradi hii ingekamilika ingewasaidia wananchi na ni lini fedha hizi zitapatikana?
Majibu: Serikali itapeleka fedha hizi ili kufanikisha zoezi la utekelezaji
Swali: Je lini barabara ya Musoma mjini mpaka Mto wa Mbu itakamilika?
Majibu: Barabara za Makutano, Mugumu, Loliondo, mpaka Mto wa Mbu, upembuzi yakinivu na wa kina Km 452 umekamilika na utatekelezwa kwa awamu kutokana na fedha zitakavyo patikana.
Swali: Je serikali haioni ni wakati muafaka wa Wilaya ya Korogwe na viunga vyake utaunganishwa na umme wa Grid ya taifa
Majibu: Serikali itaingiza mji wa Korogwe na viunga vyake kwenye bajeti ya TANESCO.
Swali:Nini hatima ya tafiti za madini muda mrefu?
Majibu: Ni kweli wilaya ya Nachingwea imefanyiwa utafiti wa madini ya Nikel na umegundua kuwepo kwa hazina kubwa ya madini hayo na sasa watafiti wanasubiri ubora wa bei katika soko la dunia. Na wakala wa utafiti wa madini GST wanaendelea na utafiti nchi nzima.
Swali: Upatikanaji wa leseni za uchimbaji umekua na mlolongo mrefu ni lini srikali itarahisisha upatikanaji wa leseni?
Majibu: Taratibu zote huzingatia sheria ya madini na utaratibu ni anayeomba mapema na hupata mapema na uchukua siku 14, na baada ya hapo zoezi hutimia baada ya siku 28, na serikali imeleta utaratibu wa kuomba leseni za kwa njia ya kielektroniki
Swali: Serikali imechukua hatua gani kuboresha utaratibu wa kupata matibabu ya katika taaisis ya Ocean Road
Majibu: Serikali inachukua hatua za maksudi kuboresha utaratibu, na serikali inalipia huduma za wagonjwa wote. 2011 serikali ilianza ujenzi wa taasisi ya saratani wenye vyumba sita vya kusimika vifaa katika hospitali ya Bugando.
Swali: Makundi ya Watanzania waliopo Ocen Road wanateseka kutokana na ubovu ya mashine, na wataalam wamehamishwa na kupelekwa kwenye hospitali ambazo hazitoi huduma za taaluma zao?
Majibu: Serikali imefanya hatua za mwanzo na kutengeneza mashine na hakuna mashine mbovu na kutenga shilingi billion 4 kwaajili ya kununua mashine. Wataalam walihamishwa kwasababu za kitaalam na kuna kamati imeundwa ili kuchunguza juu ya kuhamishwa kwa watumishi
Swali: Wnawake wa vijijini wanapata shida ya kupata misaada wa kisheria serikali inaandaa utaratibu gani wa kuwapa elimu ya msaada wa kisheria.
Majibu: Serikali imeandaa utaraibu na waziri ameandaa mapendekezo lakini pia zipo taasisi za kiraia zinazosaidia katika kutoa msaada wa kisheria kwa wanawake.