Yaliyojiri Bungeni - 15 Mei 2015

Yaliyojiri Bungeni - 15 Mei 2015

Jana mmbunge wa Gairo Shabib aliunga mkono kwa 100%alipoanza kuchangia alilalamika hadi kengele inagongwa!ni vigumu kuwaelewa hawa waheshimiwa wetu.
Mie nimeanza kuchoka kufuatilia maswali mengi ni ya kujisafisha majimboni au ayapewi majibu ya kuridhisha.

Halafu naibu waziri sijui ndio msemaji wa ofisi ya waziri mkuu anajibu kwa hamaki huyo mpaka unaweza kufikiria mara mbili kabla ya kuuliza swali wakati majibu yake yako nusu sana.

Asubuhi kuna mtu kamuuliza kuhusu ugawanyi wa ruzuku ya mapato na maendeleo kwa wamama na waototo katika wilaya yake na kudai kwanini hela aziwafikii wamama walio vijijini na hela inaishia katika kata za mijini tu huko jimboni kwakwe. Alivyo mjibu clearly serikari aina mikakati/usimamizi wakuhakikisha sera inafikia walengwa wote, kuna tatizo kubwa sana kwenye distribution channels na huyu bwana kila mara nikimsikia lawama anatupia madiwani au serikari za mitaa lakini aoni tatizo lilipo la central policies kuachiwa mikononi mwa madiwani.

In short bunge lina acha maswali kuliko majibu wabunge wanauliza maswali ya msingi sana lakini serikari mara nyingi inapwaya kwenye majibu au sheria zingine za nchi sio sahihi kabisa. Yaani watu watafute ardhi ya kulima na wazuie kisa kuna mmiliki wa shamba pori ambae alitumii, kwa mujiu wa sheria mtu akiwa na hekari ata 1000, 2000 and above akiweza endeleza asilimia 1/8 ya shamba tu is enough kuwanyima raia ardhi ya kulimia hata kama awana sehemu zingine sio sahihi either ulime utoe ajira au unyan'ganywe watu wajisaidie wenyewe kupitia kilimo; akili za maendeleo na kutoa life chances bado sana.
 
Mie nimeanza kuchoka kufuatilia maswali mengi ni ya kujisafisha majimboni au ayapewi majibu ya kuridhisha.

Halafu naibu waziri sijui ndio msemaji wa ofisi ya waziri mkuu anajibu kwa hamaki huyo mpaka unaweza kufikiria mara mbili kabla ya kuuliza swali wakati majibu yake yako nusu sana.

Asubuhi kuna mtu kamuuliza kuhusu ugawanyi wa ruzuku ya mapato na maendeleo kwa wamama na waototo katika wilaya yake na kudai kwanini hela aziwafikii wamama walio vijijini na hela inaishia katika za mijini tu huko alipo. Alivyo mjibu clearly serikari aina mikakati/usimamizi wakuhakikisha sera inafikia walengwa wote, kuna tatizo kubwa sana kwenye distribution channels na huyu bwana kila mara nikimsikia lawama anatupia madiwani lakini aoni tatizo lilipo.

Mkuu mtizamo wangu kwa hawa waheshimiwa upeo unahusika!
 
Mkuu mtizamo wangu kwa hawa waheshimiwa upeo unahusika!
Binafsi naona wengi wanajitahidi isipokuwa serikari ndio upeo unahitajika zaidi kuna wanataaluma wetu wengi kwenye mawizara wanapwaya kutokana na majibu au solution wanazowapa mawaziri.

Mara nyingi majibu yao ayaridhishi kwa kile wanachoulizwa kwa upande wangu anyway (but then people differ in opinions).
 
Jana mmbunge wa Gairo Shabib aliunga mkono kwa 100%alipoanza kuchangia alilalamika hadi kengele inagongwa!ni vigumu kuwaelewa hawa waheshimiwa wetu.
Yaani wabunge wa Sisiem inabidi wapimwe walivyo kwenye 'upstairs' zao.

How comes uwe unaiunga mkono.bajeti kwa 100% na hapo hapo uwe 'unaipinga' na kuilalamikia kwa 100 percent?!
 
Akichangia Bajeti ya waziri mkuu Bungeni, mh.Mkosamali amesema,endapo watanzania wataichagua tena CCM mwaka huu,itabidi watafute "consultant" ili aje apime akili za watanzania.

Mh.Mkosamali ametoa kauli hiyo huku akitoa mifano mingi ya jinsi CCM na serikali yake walivyoshindwa kutimiza wajibu wao karibu kwenye kila sekta.
 
Kwani uongo?? tena waje na jopo la wataalam wa ubongo, kuangalia labda ubongo wa watz ni tofauti na wa binadamu wengine!! tena kwa wanaotafuta u PROF ni sehemu nzuri sana,
 
Haya matusi ya wazi na kukosa ukomavu kisiasa. Demokrasia ni kuchagua chama na mgombea unayemtaka. Kejeli, matusi hazitafanya watu wachague vyama kwa kupendezesha vikundi vya watu. Waambieni watanzania mtafanya nini tofauti na sasa. Msiwe kama watazamaji wa mpira wakiwa jukwaani ni mabingwa wa kukosoa na huku hata kucheza mpira hawajui.Kukosoa siku zote ni rahisi.
 
Halima Mdee akampa LIVE mama spika Mh.Makinda kwa kumuambia anaisaidia serikali....huyu binti is GOOD
 
Yule mbunge asiyejulikana ni wa Tanga au Arusha hakuwepo bungeni leo.Wachambuzi wanasema atachangia saana kuangusha chama tawala kama vile alivyokuwa ARK
 
Mimi huwa hii kitu inanishangaza na kamwe sijawahi kupata mantiki yake.

Mbunge anasimama na kusema kwamba anaunga mkono hotuba ya WM kwa 100%

Halafu wakati wa kuchangia anaanza kulalamika tangu mwanzo wa hotuba yake hadi mwisho i.e. analalamika kwa 100%

Mbunge wa aina hii tumeweke katika kundi gani?

Ndio mzee mchumia tumbo
 
ukitaka mtoto wako afeli masomo yake na asiendelee na masomo ya chuo kikuu popote duniani ww somesha mtoto wako shule ya serekali,ukitaka kupanda ndege na usifike salama we panda ndege ya serekali,pia ukitaka kutokupata huduma nzuri za afya ww nenda hospital za serekali.
nukuu kutoka kwa mbunge machachari wa ukawa mkosamali
 
nukuu:mbuge kutoka ukawa sugu
akiwa anachangia wizara ya waziri mkuu mh:mbunge sugu amesema wana mbeya wamechoka kudanganya na wana mbeya hawako tena teyari kuchagua ccm,sugu amesema serekali imeagiza magari ya washa washa elfu saba na ameishauri serekali kati ya magari ya kuwasha elfu saba elfu sita wayapeleke mbeya wao wanajua nini cha kufanya
 
Back
Top Bottom