Yaliyojiri Bungeni - 15 Mei 2015

Namuunga mkono mkosamali na kagame! Hata Mwakyembe angeendelea mapato yangeongezeka mara 100
 
Hatupo makini ukiona wambali kakujua basi nikujitambua maana atamlev akitumia pesa vibaya kwenye pombe hawezi kuiona hasara ambaye hutumii utamuona mtumiaji
 
Mtu wa nje anatoa msaada unasema amekudharau - ili ni tatizo kubwa kwa mtanzania wa aina hii. Ushahidi anao kwani Rwanda inaitwa ni Singapore ya Africa.
 
Ww ulitaka awaambieje,nchi na rais ambaye aliambiwa na Mnyika ni dhaifu,ina mawaziri wachovu wa kufikiri,unategemea nn?
 
Maneno tu ya kisiasa hakuna lolote inamaana yeye ana akili kuliko viongozi wote wa TZ.
 

mnafiki hafai
 
Mimi naamini angefanya hivyo kasema kweli dharau iko wapi hapo? Kashindwa tu kusema yeye ndio angekuwa TZ hilo ni fumbo
 
​Mdau,mkulima yupo kundi la maskini na watu wa kipato cha chini,ieleweke kwamba BENKI SIO RAFIKI WA MASKINI....so bank ya wakulima its just ............
 
Naangalia tv changa bunge hakuna ama bora matiko alivyosema tbc taifa itangaze matangazo yote ya bunge
 
Huyu mgimwa anasifie halafu anaanza kulalamika hapo hapo tena. Duh? Hatari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…