Picha mnapigia nokia tochi!
Lakini si umeona? Kungekuwa hakuna kitu ungejuwaje kama ni picha?
Umeona picha iliyoletwa na duppy hapo juu
Kwani wewe ulikuwa unaongelea picha gani?
Mnaweweseka sana, na bado.
Hahahaha! Dr slaa mmempeleka wapi! Au nae yupo mtandaoni
Katika watu laki moja waliojitokeza kumlaki magufuli hao ndiyo umewaona tu.Yalitokea huko Mbeya!!
Duuuh! Swali moja majibu kibao!!!!
Hua sijadili kitu na mwenye ubongo wa sisimizi kama wewe.
You are too low.
Hao wahuni watano ndo unaita mbeya?? Angalia mziki halisi wa mbeya hapo. Shkamoo JP
Hao wahuni watano ndo unaita mbeya?? Angalia mziki halisi wa mbeya hapo. Shkamoo JP