Hali zenu JF!
Nimeona niiweke hapa hii taarifa kwa nia nzuri.
Nmekua nkisafiri mara kwa mara kwa usafiri wa anga...muda mwingine hua mchana...asubuhi...jion/usiku...ukaguzi hua shwari pale kwenye scaner!.
Maalim kwa vile wewe ni msafiri wa mara kwa mara ulitakiwa kujua hili wala isingekuwa issue sana. Pengine ulichotakiwa kuleta hapa ni "Tips za security checks" kwenye airport mbali mbali ili wanaJF wapeane uzoefu mbalimbali.
Nakumbuka one time kijasho kilinitoka Heathrow.
Kwenye last check point kabla ya waiting lounge got a snag, a woman Security Officer requested to check my hand luggage ingawa ulikuwa umeshapita kwenye mashine.
Maswali tena kwa upole ni yale yale mfano: Unakwenda wapi Mr Jumar, huu mzigo ulipack mwenyewe, kila kitu kwenye mzigo ni mali yako, unafanya shughuli gani, umekaa muda gani hapa n.k
Sasa kwenye kimkoba changu nilikuwa na document in colored copies (salary slip, house rental agreement, pass port, mkataba wa kazi, bank statements n.k) za mshikaji yupo UK kaniomba nimletee mamake ili zimsaidie kupata visa dar.
Sasa how do you go back to say they are not yours having said "I stuffed it myself and everything in there belongs to me"!!!
With a lot of "you know, you know, uumh,....." na consultation za wao kwa wao ilinichukuwa dk 45 na ndege ilichelewa sababu yangu kwa dk 20. Sasa unaweza hisia fadhaa ya kuwa abiria wa mwisho kwenye ndege na kijasho kinakutoka.
To sum it all, yours and many other are just normal security checks kama PJ alivyosema hapo juu!